CCM imeshindwa zaidi ya miaka 50 kutatua tatizo la maji sembuse hiyo 5 tu ya mnyika Acha mada zisizo na msingi.kura zetu mnyika ziko pale pale tunajua hii 5 ijayo Utafanya kweli
Hainiingii akilini Eti leo CCM nayo inahubiri kuleta mabadiliko na wakati miaka 50 yote iko madarakani je na wapinzani nao wahubiri nn,hii ni aibu kubwa kwa chama tawala kuhubiri mabadiliko wanatakiwa watuambie walichokifanya zaidi ya miaka 50 na sio blaa blaa zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.