Recent content by Meshack msomba

  1. Meshack msomba

    Naomba kujuzwa vitengo vilivyopo katika ofisi ya udhibiti ubora wa shule

    Kwani uthibiti ubora na sekondari vinaendanaje?
  2. Meshack msomba

    Naomba kujuzwa vitengo vilivyopo katika ofisi ya udhibiti ubora wa shule

    OC ya laki tano kila baada ya miezi miwili hii binafsi sikubaliani nayo
  3. Meshack msomba

    Naomba kujuzwa vitengo vilivyopo katika ofisi ya udhibiti ubora wa shule

    Mm naona hakuna mwenye ufahamu wa kutosha kuhusiana na uthibiti ubora wa shule
  4. Meshack msomba

    Jose Mourinho: Mkufunzi wa Manchester United anaonekana kupitwa na wakati - Chris Sutton

    safi sana kwa kuleta challenge....hata kama mo akipondwa bado ni kocha mzuri huwezi mfananisha na kocha ambaye timu yake ni ya ishirini
  5. Meshack msomba

    Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?

    Umesoma vyuo vyote Tz? Acheni kudanganya watu
  6. Meshack msomba

    CHADEMA tuishukuru serikali kwa kuokoa maisha ya Tundu Lissu

    Hujui ulitendalo fikra zako zimekomea hapo
  7. Meshack msomba

    Nataka kusomea Diploma ya Afya ya Clinical officer itawezekana kweli ....

    Diploma utapata lakini utasoma miaka mitatu ila kwenye PCB ungekuwa na ufaulu wa kuanzia C na kuendelea ungesoma Diploma kwa muda wa miaka miwili tu
  8. Meshack msomba

    Msaada kozi yenye soko kati ya hizi

    Naomba juu ya hizi course za computer ipi ni marketable kwa ngazi ya Cheti 1. ICT 2. COMPUTER SCIENCE 3. COMPUTER MAINTENANCE
  9. Meshack msomba

    Natafuta mwanaume wa kuja kuwa mume wa maisha yangu

    Nipo hapa njooo inbox
  10. Meshack msomba

    Nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe

    Watafutie karolaiti watakuwa weupe ty
  11. Meshack msomba

    Msaada kozi yenye soko kati ya hizi

    Ndugu zangu naomba kufahamu kozi hizi zifuatazo kwa ajili ya certificate in ICT, Computer science & Computer maintenance ipi ni nzuri na ipi ina soko? Tafadhalini naombeni msaada.
Back
Top Bottom