Recent content by merumba mtaju

  1. M

    Nini maoni yako kuhusu kauli ya RC Dodoma kuwa Mwanafunzi akichelewa kuripoti shule atalimishwa matuta kumi?

    Kama Elimu ni bure, kwanini wachelewe? Hata hivyo mbona adhabu ya kawaida sana, kwasababu wengi wao baada ya kuwa wamehitimu elimu yao ya msingi ni wakulima tarajiwa
  2. M

    DOKEZO Responded Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Hakuna mwanaume anayekataa mtoto mkuu! Ila mama zao wanawakatalia, hawahitaji hata baba zao kuonana na watoto wao. Zaidi ya hapo hata baba anawajibika kwa kiasi gani provided hakai na yule mtoto, mathalani anamtumia mama yake matumizi ya mwanae, mama anajificha kwenye kichaka cha kuwa yeye ndo...
  3. M

    Tumjadili huyu Mstaafu hapa wakuu tuone ana akili timamu au sio mzima

    Mwandishi kasema miaka sita (6), iliyopita. Nadhani ilikuwa ni kabla ya kikokotoo
  4. M

    Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Una point ya msingi! Swali langu kwako, Kwanini Maharage Chande kaondolewa na kuwekwa mtu mwingine? Kama issue ni maintenance na si utendaji kazi mbovu, kwanini bwana Maharage asingeendelea kuwa Mkurugenzi???
  5. M

    Wamuua Kaka yao kwa shoka baada ya kuchoshwa na vipigo vya mara kwa mara

    Yawezekana wameua bila kukusudia! Mahakama itawaachia huru
  6. M

    Lindi: Mbunge wa CCM Nachingwea azomewa na Wananchi

    Hadi nimemwonea huruma poti kwa hizo bakora alizolambwa na wananzengo
  7. M

    Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

    Kama lengo lako ndo hilo, basi usiwe unaweka namba ya simu. Ni ushauri tu, hii dunia ni duara, leo uliye muanzishia uzi kuwa ni mropokaji, kesho unaweza kuta ndo kashika mpini
  8. M

    Mbowe audhibiti mdomo wa Tundu Lissu

    Maslahi yako binafsi unayataka sana ndg Lucas Mwashimba, ndo maana kwa kila mada unayoiweka hapa jamvini ni lazima uweke namba yako ya simu. Kama ingekuwa ni kwa maslahi ya Taifa usingekuwa unaweka namba ya simu kwenye mada zako.
  9. M

    Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

    Kama kweli wewe ni mwanaume basi mwenye hayo maamzi ya kuzaa either mtoto wa kike ni wewe mwenyewe wala siyo mke wako au Mungu wako. Nakukumbusha tu wewe unazo sex chromosomes mbili tofauti ambazo ni XY, na mke wako anazo chromosomes mbili za kufanana, ambazo ni XX, hivyo bac kazi ni kwako
  10. M

    Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

    Watu wanacho taka ni maendeleo, maitikadi yenu ya vyama wala hayasaidii chochote, CCM ikishinda sawa ili mradi tu ilete maendeleo kwa wananchi wake, CHADEMA ikishinda sawa tu ili mradi ilete maendeleo kwa wananchi wake. Dhima kuu ya uongozi ni kupeleka maendeleo kwa wale unaowaongoza NB...
  11. M

    RC Mtaka ataka wanafunzi wanaofanya makosa wafukuzwe shule

    Anayetengeneza hicho kizazi cha majambazi ni mzazi mwenyewe, kwasababu anashindwa kumlea mtoto wake kwenye maadili yanayo takiwa, mfano mtoto amefanya makosa shuleni mwalimu amempa adhabu kwa lengo la kumsaidia mzazi kumuweka mtoto kwenye utaratibu, mzazi huyo huyo ndo mtoa matusi kwa mwalimu...
Back
Top Bottom