Mashine za JUKI kwajili ya kufundisha wanafunzi shuleni ufundi stadi, tunaweza pata machine za cherehani pcs kama 100 za kuanzia.
Mashine za kushana
Overlock
Kudalizi
Kutoboa na kushano vishikizo
Mashine zenye speed kiutendaji
Wengi wanaofanya hii michezo wanatumia majina yao binafsi sio kampunin hawa watu wako wengi kwenye mitanda ya kijamii.
Wanchukua picha sehemu kisha wanaweka nusu bei, wanalipia hadi matangazo sponsored tangazo lina viler baada ya muda lazima usikie milio mtaani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.