Pengine labda sijatembea sana Arusha,lakini kote nilikopita hakuna maajabu sana na mitaa mingi barabara zake ni mbovu sana,najiandaa kwenda tena this May nataka nikazunguke sehemu nyingi kidogo.
Mwenye nyumba kaja kutoa vitu vyako,anakudai 250k na mfukoni una 150k,fanya kitu kimoja Chukua vitu vyako kaviweke kwa rafiki yako,hiyo 150k usimpe mwenye nyumba jifanye umekosa hata mia.
Nenda katafute chumba kingine cha 30k lipia miezi minne 120k, 30k bakiza ya dharula maisha yanaendeleaa.
Mwanamke ambaye hujawahi hata kumkiss hatakiwi kula hela zaidi ya vocha,akisema hana salio muunge kifurushi cha wiki uhakikishe mpaka muda wa kifurushi unaisha uwe umeshamla.
Ila haya maisha jamani acheni tu,hakuna siku mwanaume utasema upumzike kila siku ni kukimbizana na ridhiki tu,yaani weekend ukiona inasogea kumbe ndiyo inaishilizia,mwanzo nilikuwa naamini siku nikijenga kwangu nitapata muda wa kupumzika kumbe wapi ndiyo kwanza majukumu yameongezeka.
Gharama za...
Mchungaji/Padri akitaka gari au nyumba mnamchangia.
Muumini/mshirika ukitaka gari au nyumba unaombewa[emoji3][emoji3][emoji3]
Aliyezileta hizi IQ yake ni ya sayari nyingine kabisa.
Kuna kaukweli kwenye maelezo yako.
Mimi enzi za ujana wangu nilikuwa mzinzi kuliko hata neno uzinzi lenyewe,nilikuwa natembea mpaka na wanawake watatu kwa siku moja,hata sikuwa na hela sema nilikuwa na ushawishi tu kwa wanawake.
Kuvaa vizuri,kunukia vizuri,kunyoa vizuri na kuwa smart mdomoni...
Tangu nilipooa 9 yrs ago ukaribu na washikaji ambao hawajaoa ulipungua sana na wengine uliisha kabisa,wakabaki wachache ambao tunakutana sehemu za utafutaji.
Nikikutana na jamaa yangu ambaye hatujaonana muda,lazima tu nitamuuliza vipi family hawajambo?akisema tu hajaoa basi ni bora zaidi...
Uwanja wa Mpanda umeshaanza kufanya kazi?
Mwaka 2018 nilienda kikazi kipindi hicho barabara ya lami ilikuwa haijakamilika hata Sikonge ilikuwa bado haijafika,aisee msoto nilioupata wakati wa safari siwezi kusahau m,tulitoka stand ya Tabora kwenye saa 10 jioni usiku kucha tuko porini tulifika...
Nia yetu njema kwa akina dada inaharibiwa na mizinga isiyo na maana.
Kuhudumia ni wajibu wetu lakini kuna muda unaona kabisa kwa staili hii hatuwezi kuyafikia malengo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.