Recent content by Merk Alphonce Vicent

  1. Merk Alphonce Vicent

    JamiiForums Tanzania Juhudi za watu katika kutafuta nafuu ya maisha

    Kumekua na jitihada mbalimbali zikifanywa na watu katika kujiweka sawa kuendana na mifumo ya maisha kwa kufuata elimu za msingi, sekondari na za kati pia elimu ya juu na hata mafunzo ya ufundi hayo yote ili kupata sifa na vigezo vya kujiweka sawa kimaisha. Lakini ukweli kwamba juhudi na...
  2. Merk Alphonce Vicent

    JamiiForums Tanzania Vijana na Mausiano ya ushiriki katika Siasa

    Naamini vijana wengi wanajitenga na kutojihusisha na siasa au katika vyama vya siasa na shughuli zake huku wakiamini kua wao sio sehemu ya itikadi hiyo Ila ukweli kwamba kulingana na mifumo ya maisha ilivyo siasa ndio inayo amua maisha yote kwa wale vijana wasio shiriki na wanao shiriki Hivyo...
  3. Merk Alphonce Vicent

    JamiiForums Tanzania Hitaji muhimu juu ya elimu ya virusi vya homa ya ini

    Nafikiri sasa wadau kushirikiana na serikali upo umuhimu zaidi kutoa elimu ya afya kuhusiana na homa ya ini. Maana ili jambo kiukweli kwa sasa imekua ni hatari kubwa kwa afya za watu na takwimu nilizo nazo kulingana na utafiti wangu binafsi inaonyesha watu wengi bado atuna uelewa juu ya tatizo...
  4. Merk Alphonce Vicent

    JamiiForums Tanzania Kuhusiana na mamlaka mbalimbali zinazowakabili madereva wakiwa kwenye majukumu yao

    Kutokana na kuwepo taasisi nyingi za kiserikali katika usimamizi juu ya kilele wanachokiita usimamizi bora ya matumizi sahihi ya barabara na vyombo vyake. Kiukweli imeamua changamoto sana kwa sisi madereva hasa ikizingatiwa kila taasisi imekuwa ikiitajia hela kwa kile wanachokiita ada hivyo...
  5. Merk Alphonce Vicent

    JamiiForums Tanzania Nina shauri utoaji wa leseni za udereva wa magari hasa kwa magari ya usafirishaji mizigo kuwepo chuo angalau kila mkoa

    Nina shauri utoaji wa leseni za udereva wa magari hasa kwa magari ya usafirishaji mizigo Kuwepo chuo angalau kila mkoa kwa ajili ya kutoa mafunzo hayo tofauti na ilivyo sasa ni Morogoro Kihonda au Dar es salaam Chang'ombe pekee. Hali kama hii inachangia upatikanajia wa leseni nyingi ambazo sio...
  6. Merk Alphonce Vicent

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Jinsi mifumo na michakato ya namna ya kuajiri wafanyakazi katika kada tofauti za serkali imekua sio kuangalia sifa na vigezo thabiti Kwenye Halmashauli za wilaya, Bali nani ana kufahamu au wewe ni mtoto wa nani na hiyo ni nje ya Rushwa Ila Kama ujulikani na wale wasaili hata kama unavigezo na...
  7. Merk Alphonce Vicent

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ila mama Samia nasikitika ajanibadilishia mkuu wa wilaya kwenye wilaya yangu Kiukweli nilimuhitaji nipate DC mwingine ili nipate mapya
  8. Merk Alphonce Vicent

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Rais Samia Suluhu Hassan

    Hbd kwake
Back
Top Bottom