Recent content by Menyo

  1. M

    Ushauri: Msiwapeleke watoto wenu shule za bweni mpaka angalau afike umri wa kujitambua

    Hii janga ipo jamani,regardles ni mazingira yapi mwanao wakike au wa kiume anaweza bakwa ama kulawitiwa na wageni tena wa nyumbani mwako,wajomba maanko na ndo common cases zinazoripotiwa kufanya ukatili wa aina hiyo,cha muhimu mwanao awe aware mueleze bila kuficha maeneo ambayo hatakiwa...
  2. M

    Sharobaro wa Kihaya, mchekeshaji wa Futuhi acha kujichubua

    Duh aisee watu wnataka wafanye upembuzi yakinifu hadi nyuma wanataka
  3. M

    Kwa wasio na familia tu: Okoa pesa yako, achana na fasheni kuiga iga

    Khaaaa jamani we are only live once,why cant we enjoy na tutafuta pesa ili iweje,the first time demu wako anakuja geto kwako akute godoro chini cha kwanza kitaklick kwa akili yake hutaweza afford kumuhudumia,kam ww mmoja tu na uko peke ako unashindwa jijali,kabati zuri huna kitanda kizuri huna...
  4. M

    Mkuu wa Serikali ya wanafunzi (DARUSO) na wenzake, wasimamishwa masomo kwa muda usiojulikana

    Jana nmeona mpaka yule mdada anahojiwa Azam,nkajuiuliza hivi kwa awamu hii huyu dada ataendelea na chuo kweli,pengine yeye atapona katika hili sekeseke alikuwa na confidence nzuri alijitahidi kuwatetea wenzie.
  5. M

    Watoto na Vijana 300 hufariki kila siku kutokana na UKIMWI

    Naskia skia wapo ktk process ya kuleta dose ya kidonge kimoja kwa mwezi unarelax
  6. M

    Nimewaambia huo upuuzi ishieni nao huko huko

    Najiuliza kwa nn aloanzisha hii system ya kumwagiana maji na majitaka asingefikiria kumwagiana na kumtupia mapesa mzaliwa wa siku hiyo,sheinzie kabisa utamaduni kw kipumbav kabisa..
  7. M

    Mashoga wazidi kuongezeka Bongo, nini hasa sababu? Au wateja wamezidi kuwa wengi?

    You issue inaaminika kuwa wengi wao hawakupenda kuwa ivo wamejikuta wakiwaa ivo,dats kuna international organisations zinawasaport tena zinapesa mbaya..wanajua wako isolated hawawezi pata huduma kirahisi kulingana na mtazamo wa jamii unavowachukulia hasa wanapohitaji kupata huduma za kijamii...
  8. M

    Tabora: Abiria wabaini basi la Arizona walilokuwa wakisafiria kutoka Kigoma lina Kunguni, wagoma kuendelea na safari

    Asee kuna gari is Saratoga kutoka Tabora kwenda Kigoma kina kila sina ya wadudu unaowajua wewe,gari limechoka linagiza ndani mende kunguni seat limechoka,najiuliza hivi mmiliki pesa ya kufanya marekebisho yote anahonga au analipa ada za wanae,au anasomesha nyumba ndogo chuo kikuu,kwani...
  9. M

    Kigoma: Mwalimu Mkuu aliyedaiwa kumpa mimba mwanafunzi aachiwa huru. Mwanafunzi adai hamjui aliyempa mimba

    Washayamliza kiutu uzima kitu kinachomata sana ni ushahidi kutoka kwa mtendewa (mtoto)kama yy ashasema hivo kesi ishaisha ivoo,mwalimu aongeze nyingine tu maana ashakbidhiwa mke kwa lugha nyingine
  10. M

    Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

    Most of them wanaotetea hii kitu wanaishi kwa mashemeji na kaka zao😀😀inakera aisee hawa ndugu ukishaishi nao nyumba moja wanataka wamcontrol mdada wa kazi mpaka moro,wanasoma kama wameoa na wao,utakuja mtu hata chumba anacholala hawez kufanya usafi afanyiwe,na wengi huwa anasubir kukosea waanze...
  11. M

    Wananchi endeleeni na tahadhari Ukimwi bado

    Aisee usijidanganye huu Upungufu wa Kinga Mwilini upo atii,ni vile Serikali na Mashirika yameshift kutoka kutoa awareness kuhusu hiyo kitu,husikii tangazo la UKIMWI wala kipeperushi ni Malaria Matende na Mabusha cjui nn,siku saivi ni Projects za ARV na wanapelekewa huko waliko esp vijijini...
  12. M

    UKIMWI unavyotafuna vijana

    Aisee natamani kama serikali na wizara yake ingetilia mkazo hili swala kama kipindi cha miaka ya nyuma,kulikuwa na warsha na makongamano mijadala kuhusu UKIMWI,matangazo kila stesheni za TV na radio ,watu walikuwa na uelewa mpana zaidi namna ya kujikinga na namna ya kumhandle mgonjwa wa...
  13. M

    Ni umri upi sahihi kwa mwanaume kuoa?

    Haya mambo huwa tunayachkulia easy but karma itasema siku moja,unapofikiria kuzalisha wanawake na kuwatelekezea watoto na kumaliza haja zako za kimwili tambua itafika kipindi upendo kwa wanao kwako utakuwa like wise ulivowafanyia,watoto wanagain upendo kwa kuspend nao na sio kuwagharamia wakiwa...
  14. M

    Wananchi wa kijiji cha Bwai mkoani Mara wachoma gari ya polisi

    Washamuharibia mtahiniwa usikivu ..ashakuwa mtuhumiwa
Back
Top Bottom