Recent content by MenukaJr

 1. MenukaJr

  Udhaifu wa mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

  Katika chapisho la kwanza nilieleza namna mapendekezo ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA yasivyoweza kutupatia Katiba mpya, bora na shirikishi kama alivyosema. Kwa ajili ya kumbukumbu, Freeman Mbowe alisema kuwa Rais aunde Tume huru ya Katiba. Tukamwambia haiwezekani, swala la Tume ya...
 2. MenukaJr

  Tatizo la Tanzania sio Katiba Mpya bali utii wa Katiba iliyopo

  Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni yenye kustahili kusahihishwa kwa sababu si ya kweli. Ni uongo! Kwa ajili ya kumbukumbu, nimekusudia...
 3. MenukaJr

  CHADEMA, Askofu Mwamakula hawakijui wanachokidai

  Ukiwasikiliza CHADEMA katika madai yao ya Katiba mpya, utakubaliana nami kuwa hawana wanachokijua kuhusu madai yao au hawako serious na wanachokidai. Wote Viongozi na Wanachama wanaimba wimbo wasiouelewa mtiririko na mwisho wake. Wanaimba tu, ilmradi wasikike. Wanapoteza muda! Ili kuthibitishia...
 4. MenukaJr

  Chalamila alipotoshwa, Mhandisi Gabriel usikubali

  Hata hisa za Serikali zilizoporwa katika Celtel zilikua katika utekelezaji chini ya wizara ya mawasiliano.
 5. MenukaJr

  Chalamila alipotoshwa, Mhandisi Gabriel usikubali

  Siku nyingine tumia akili yako vizuri. Unadhani hisa za Serikali (TTCL) zilizoibiwa katika kampuni ya Celtel (sasa Airtel) hazikuwa katika maandishi ya kisheria?
 6. MenukaJr

  Chalamila alipotoshwa, Mhandisi Gabriel usikubali

  Mhandisi Robert Gabriel karibu Mwanza. Wenyewe tunaita Rock City, Jiji la Miamba. Wewe sio mgeni Kanda ya Ziwa, unatufahamu. Bado tunaimba na kuomboleza! Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila alipotoshwa na yeye akapotosha umma, wewe usirudie kosa hilo. Tafuta chapisho langu la...
 7. MenukaJr

  Kuhusu Corona, Serikali isiturudishe nyuma

  Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali iliyotolewa tarehe 05 June, 2021 imebainisha kwamba Rais wa JMT amepokea tayari taarifa mbili kutoka katika Kamati aliyoiunda kwa ajili ya kufuatilia na kuishauri Serikali namna ya kupambana na gonjwa la corona. Taarifa ya kwanza ilikua ni yenye maoni ya namna...
 8. MenukaJr

  Rais wangu Samia, ukifungua milango usiondoe pazia!

  Rais wangu, nimekusudia kuendelea kukuandikia kwa nguvu zangu zote. Ninafanya hivi kwa utambuzi kuwa haya ndio mapenzi yangu kwako, ndio wajibu wangu wa msingi kama Mwana-CCM na Mwananchi mwema wa Tanzania. Wakati wa JPM nilifanya kazi hii kwa kiwango kizuri, licha ya masimango niliyoyapitia...
 9. MenukaJr

  Mwanza: RC Chalamila anapotosha au amepotoshwa?

  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila ametangaza ziara ya Rais wa JMT katika Mko wa Mwanza itakayofanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15, Mkoani Mwanza. Katika ziara hiyo, RC Chalamila amesema Rais Samia Suluhu pamoja na mambo mengine atatembelea na kufungua kiwanda cha usafishaji (uchenjuaji)...
 10. MenukaJr

  Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

  Maoni yangu: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina mapungufu kadhaa kwa maoni yangu, kama ifuatavyo: 1. Mkataba wa Gesi Da'slam-Mombasa Taarifa ya Msemaji...
 11. MenukaJr

  Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

  Asante. Na nitendewe kama ulivyonena ikiwa inanistahili!!
 12. MenukaJr

  Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

  Tumehimizwa kusamehe saba mara sabini. Msamahani ndio msingi imara wa maridhiano!
 13. MenukaJr

  Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

  Atamsamehe kwa kosa litakalothibitishwa na Mahakama.
 14. MenukaJr

  Rais Samia Suluhu tumsamehe Sabaya, inatosha

  Nimechagua kupita njia hiyo kwa sababu wenzetu wametangulia. Kama sio kulifanya swala la Sabaya kuwa kisasi cha Ubunge wa Freeman hata mimi (sisi) tungaliacha mambo yaende inavyostahili. Kwa sababu wenzetu wameanza, sisi tumaomba tumalize. #HatutoiPointTatu.
Top Bottom