Recent content by Menthry

  1. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajka

    Hayo maamuzi tu, funguka waweza badili mtazamo wake akijua ukweli wa hisia zako kwako.
  2. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

    Oooh, that's says alot, as hatakama utaficha ur worst part, you 're one of them best in here..
  3. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

    Hatakama ni wewe Angelita, lazima ufiche machafu yako, zingatia she is the one who's writing the story, it's easy to protect herself from thid deep shame.
  4. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ona wanachonifanyia malaya kila nikiwachukua

    Etghffdi
  5. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika hili, wanaume tutasutwa sana, nyie wadada kwanini?

    Kudadadeki, umetishaa.....
  6. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gym si salama tena kwa wake zenu

    Mbona kama umepaniki kujibu, soma vizuri amesema Gym ni moja ya sehem moja wapo tu...
  7. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma house boy na wake za watu

    "Women are so Complicated" Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu' Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA...
  8. Menthry

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wana Maslahi gani na Arusha Mjini?

    Hakuna wakujitambua, 90% ya wafuasi wa CDM Arusha ni madereva wa boda boda na chokoraaa ambao wachache sana wamesoma angalau kufika darasa la 7, wanaidanganyika kuwa CDM itawapa utajiri bila kufanya kazi. Kama huku ni kujitambua basi Arusha iongozwe milele na CDM.
  9. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukipata namba ya mchepuko wa mke wako, hatuga gani ya kwanza ya kuchukua?

    Reaction inategemea na mambo mengi sana ila swali la msingi ni Je na wewe ni mchepukaji au la? Kama jibu ni Yes, tulizana kama haujui kitu.
  10. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini uruhusu mkeo au mumeo kudochwa au kudocha nje?

    Na hii imekuwa kama maisha ya kawaida, Maofisini kugegedana, lunch time imekuwa na matumizi ya ziada na akirudi home katu huwezi jua. Huwezi mchunga Mke/Mme, binadam ni soo anapotaka fanya lake.
  11. Menthry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume viwembe/malaya (players) hupendwa na wanawake?

    Hao ndiyo watam tena wapo makini sana, mie nikipata huyo nauza tu, ndom ya nini ukawa huu?
  12. Menthry

    JamiiForums Tanzania Haingii akilini Messi kuwa mchezeji bora!"

    Kama haya yangekuwa mashindano ya diving sawa, kwa mpira naam, Robben hastahili kabisa.
  13. Menthry

    JamiiForums Tanzania Haingii akilini Messi kuwa mchezeji bora!"

    Nani amefunga kwenye gemu ngumu anayestahili kupewa ? Tatizo ni ufinyu wa uelewa tu hapo.
  14. Menthry

    JamiiForums Tanzania Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Location please, nikupatie chap chap, hata kwa malipo I'm in..
Back
Top Bottom