Umuhimu wake ni upi? amezalisha wachezaji wa ngapi? au kasaidia technically kwenye kipi zaidi yakutukana watu?
LABDA MTOA MADA ALITAKA KUCHUKUA ATTENTION YA WATU TU.
KIONGOZI GANI WA JUU WA SERIKALI AMBAYE MTOTO WAKE YUPO SHULE ZA SERIKALI ANYOOSHE KIDOLE AU AFANYE KAMA ANAJIKUNA TUMUONE.
Kingereza muhimu kilishatutangulia hivyo ni vyema kujifunza ikiweekana hata lugha kama kifaransa kichinana kiarabu ni muhimu kujifunza kama somo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.