Recent content by meno ya tembo

  1. M

    JamiiForums Tanzania A reason why one visa for tourists is not an option for Tanzania

    Nendeni huko na ushirikiano huo hatuutaki.Hivi faida zake ni zipi vile?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watangazaji na Vyombo Vya Habari Mnamuona Salim Kikeke Wa BBC Swahili

    Mimi ni steeeeeeeeveeeeeen chuuuuuuuuuuuuwaaaaaaaaaaaaa wa Itviiiiiiiiiiiiiiiii.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tigo mmezidi wizi sasa haa!

    Mm kwa tigo nimesalimu amri yani ni wezi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania East Africa: EA Single Tourist Visa Announced At World Travel Market in London

    Hii mada imenichosha hata sielewi.Ni malumbano tuuuuu!?every one to mind his or her business and that is my conclusion.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nigerian leader signs anti-gay law, drawing U.S. fire

    Hili shirika lenyewe limejaa mashoga na ------- ndo maana wapanua sana mikundu yao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni tishio kwa kitu gani kwa nchi za africa mashariki?

    Wa TZ wanaongoza kwa makavu ila wa KE wanaongoza kwa kubaka.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni tishio kwa kitu gani kwa nchi za africa mashariki?

    Mbona nikikamata masanga ninaongea kiingereza kama Obama?Nitakuwa nimesoma hadi chekechea makerere school.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kugombe urais 2015

    Ni bora ungenza na ubalozi kijijini kwenu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kugombe urais 2015

    Mm sijamuelewa huyu bwana.Hivi anataka achaguliwe na wapiga kula au kura?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya "Wahaha" ni halali?

    Msinikumbushe hao viumbe ni watamu kinoma tena ile staili ya katerero inarusha handazi yani digirii 200.Kuhakiki mwenyekupenda aende pale Temeke sudan mkabala na gadeni mbele kidogo ya hoteli ya jiraf.Yani ingia chocho tu utakumbana na vibanda tena milango wazi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

    Habari za kukata kata yani (breking nyuz)Wachina wameleta mahelikopta zitapishana na akina zuberi,shabiby nk.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Magufuli fuatilia makandarasi wazembe.

    Mheshimiwa waziri Magufuli kuna baadhi ya makandarasi ambao hawafai hata chembe yani kupewa ukandarasi hata kidogo.Yani mtu kujaza vifusi na kushindilia kilometer kumi tu anatumia miezi minne je km mia si atachukua miaka 100.Bora kazi wapewe wachina.Mheshimiwa waziri tunateska na vifusi ktk eneo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Jamani wasije majangili wakanitoa roho bure.Hilo juu ni jina tu.sina udugu na tembo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hivi mnaelewa maana ya serkali?Bila ww hamna serikali. Kwahiyo ukishindwa kuna kasoro.
Back
Top Bottom