Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

naombeni msaada ndugu zangu, either wa mfano wa barua ya mualiko au mtu ambae unamfahamu yuko uhamiaji atanisaidia kwa haraka sana. Uki ni PM utakua umenisaidia sana
Sasa huko unakoelekea (mfano wa barua ya mwaliko) utafungwa kwa kugushi nyaraka...
 
Inategemea na aina ya pasi unahitaji kwa ajili ya safari, maana kuna kama ifuatavyo;
1. Emegency travel document (ETD) ama Shahada ya Safari ya DHARURA imeanishwa nchi unazoruhusiwa kusafiria Yaani KENYA, UGANDA, MALAWI, DRC, RWANDA, BURUNDI, ZAMBIA, &MSUMBIJI
na bei yake ni Tsh. 10,000tu. Fomu zapatikana palepale ofisini unatakiwa kuwa na Picha 3ppt size blue background, cheti cha kuzaliwa cha mwombaji, cha mmoja kati ya wazazi wako, stempu za Tra 2 endapo utatumia viapo, barua kutoka serikali za mtaa.

2. Pasipoti ya Kawaida (ORDINARY PASSPORT) Bei yake ni TSh 50,000tu bila chenga na pasi hii inakuwezesha kusafiri kwenda popote duniani, chamsingi uwe na viambata nilivyovitaja hapo mwanzo na barua ya uthibitisho wa safari yako na ni ndani ya siku 7 (saba) tangu kupokelewa kwa ombi lako unapata pasi yako, na uharaka wa pasipoti yako inategemea udharura wa safari yako na tatizo pia, mfano unaumwa mahututi unatakiwa ukatibiwe nje pasipoti yako inawezekana kuipata siku hiyohiyo.

3. PASI YA AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICAN PASSPORT) Bei yake Tsh 15,000tu na inakuwezesha kusafiri katika nchi wanachama na inakuwezesha kufungua akaunti ya akiba katika nchi wanachama.

Kumbuka ETD haitolewi makao makuu Kurasini na Epukana na Madalali na matapeli nenda moja kwa moja kwa afisa uhamiaji katika sehemu husika hasa ofisi za uhamiaji, pia uwanja wa ndege, bandarini na vituo vya kutokea na kuingilia ni vya uhamiaji, isipokuwa hakuna Pasipoti yeyote inayotolewa katika sehemu tajwa. Itangaze nchi yako kwa kutumia pasipoti ya nchi yako.

Inaruhusiwa kuwa na passport mbili? I mean Ordinary Passport na ile ya Afrika Mashariki?
 
Sijawahi kuvuka nje ya mipaka ya Tanzania hivyo mambo mengi siyajui ya vigezo gani na hatua zipi za kufuata ili uweze kupata Pasiport na VISA kwa haraka bila usumbufu sana wa nenda rudi,hiki hakipo hapa umekosea..Nasema hivi kwasababu mimi ni mwajiriwa nipo mbali na Dar so vema kukamilisha vyote ndipo nifuatilie Passport na Visa.

Lakini pia ningependa kujua kuna category ngapi za passport,nikiwa na maana je unaweza kupata passport ya kutembelea nchi zaidi ya 3 hadi 10 kwa kuzichagua mwenyewe na vipi gharama zake zinakuwaje.

Najua kuna ulazima wa card ya kuzaliwa ya mzazi hasa wa kiume,je vipi kama mzazi wa kiume hukupata kumfahamu au alifariki siku nyingi,miaka ambayo vyeti vya kuzaliwa za wazazi wetu haukuwa na umuhimu miaka hiyo 1940?

Je,Visa za Thailand,Philipine,UAE,USA,U.K na Hungary zinasumbua kupatikana....nategemea nitembee moja ya nchi hizo as soon as possible mwakani March kutokana na fursa nilizoziona kwenye mabandiko humu,hivyo nataka nianze kazi sasa.

Msaada wenu!
 
Habari wakuu,

Naulizia jinsi ya kupata passport ya kusafiria kwenda kusoma Course fupi Uholanzi. Kuna Course nili-apply sasa nimechaguliwa ila wanataka kunifadhiri na wanahitaji vitu vifuatavyo.

1.Valid Passport ya kusafiria

2.Government statement

3.Employer's statement

Na baadhi za personal details.

Wakuu, sasa wameniambia niwasilishe kabla ya mwezi wa kumi na bahati mbaya sina permanent passport ni nayo ya kusafiria kenya na Uganda tu.

NAOMBA msaada tafadhari kwa mtu anayejua nifuate taratibu gani na inaweza ikachukua muda gani kuipata:

Wenu katka Ujenzi wa Taifa, Ngosha Wenyele.
 
Mkuu kama upo mjini hapo DSM unaweza pata kirahis ila itabidi utoe mpunga maana ili uipate fasta..
 
Mkuu si wamekutumia admission letter? Kama ndivyo basi fululiza uhamiaji kachukue form kwa ajili ya passport then maisha yataanzia hapo
 
Mkuu Mtanzania yeyote anaweza akapata passport uhamiaji.., ila issue mara nyingi wanakuuliza unataka ya nini.., hivyo utakachotakiwa kufanya ni kuandika barua ya maombi na kuelezea sababu yako ya kuomba.., (wengi hapa hata kama hawaendi shule huwa wanaandika kwa ajili ya biashara.., mfano kwenda nchi fulani kutafuta bidhaa za kuuza)

Na huko uhamiaji watataka kuambatanisha na cheti cha kuzaliwa kuonyesha wewe ni mzawa.., baada ya hapo kujaza form na fingerprints watatuma forms Dar kama upo mikoani au kama ni hapo hapo Dar wataiprocess.. (cha kufanya funga safari kesho nenda uhamiaji ukapate maelezo full)

Baada ya hapo ukishapata passport inabidi upate VISA ya sehemu unayokwenda ambayo ndio itagongwa kwenye passport yako.., na VISA huwa inapatikana kwenye ubalozi husika.., na kama una sababu ya maana mfano shule.., hivyo vyote utavipata pasipo shaka. Ila na kwenye VISA watataka wajue unaenda kwao kufanya nini na utaishi vipi na nani atakulipia vitu (hapo ndio barua za shule na sponsorship itafanya kazi.., kama hauna sponsor basi ni Bank Statement yako au ya mfadhili wako kuona kama kweli unaweza ukaziweza costs za huko)
 
Asante sana mkuu kwa msaada wako,mi niko huku Bush lakini kesho ndo nataka niende mjini,cost fee yake ni shilingi ngapi?
Asante kwa msaada.
 
Asante sana mkuu kwa msaada wako,mi niko huku Bush lakini kesho ndo nataka niende mjini,cost fee yake ni shilingi ngapi?
Asante kwa msaada.
PASSPORTS AND TRAVEL DOCUMENTS FEES
S/NoTypes of Passports and Travel Documents Fees (Tsh)
1.Ordinary Passport 50,000/=
2.Diplomatic Passport50,000/=
3.Service Passport 50,000/=
4.East African Passport15,000/=
5.Emergency Travel Document10,000/=
6.Certificate of Identity10,000/=
7. Geneva Convention Travel Document20,000/=

3. STUDY TRIP
The application for the study trip shall be accompanied by:-

  • admission letter;
  • academic certificates;
  • sponsorship letter;
  • proof of payment for private sponsorship;
  • permission letter from the employer if the applicant is employed and
  • permission letter from the parent or guardian to the applicant below the age of 18 years.
REQUIREMENTS FOR APPLICATION OF PASSPORT
An application for a passport shall be accompanied by:

  • A Birth Certificate or Birth affidavit or Certificate of Naturalization of the applicant (In case the applicant is a citizen by naturalization).
  • A birth certificate or birth affidavit or Certificate of Naturalization of the applicant's parent or parents.
  • Recent, clear and un-mounted passport size photographs as may be directed by the issuing authority.
  • In case of the applicant who is below the age of 18 years, the parent's or legal guardian's written consent.

PASSPORTS AND TRAVEL DOCUMENTS FEES
S/NoTypes of Passports and Travel Documents Fees (Tsh)
1.Ordinary Passport 50,000/=
2.Diplomatic Passport50,000/=
3.Service Passport 50,000/=
4.East African Passport15,000/=
5.Emergency Travel Document10,000/=
6.Certificate of Identity10,000/=
7. Geneva Convention Travel Document20,000/=

3. STUDY TRIP
The application for the study trip shall be accompanied by:-

  • admission letter;
  • academic certificates;
  • sponsorship letter;
  • proof of payment for private sponsorship;
  • permission letter from the employer if the applicant is employed and
  • permission letter from the parent or guardian to the applicant below the age of 18 years.

    Kwa information A to Z cheki site ya Uhamiaji hapa chini
    Immigration Services Department of United Republic of Tanzania

sorry mkuu msaada kidogo kutofautisha hizi passports:
1. Ordinary Passport
2. Diplomatic Passport
3. Service Passport
 
sorry mkuu msaada kidogo kutofautisha hizi passports:
1. Ordinary Passport
2. Diplomatic Passport
3. Service Passport

According to site ya uhamiaji
Immigration Services Department of United Republic of Tanzania

TYPES OF PASSPORTS AND TRAVEL DOCUMENTS
Ordinary Passport:
An ordinary passport may be issued to any citizen of the United Republic of Tanzania for the purpose of travelling outside the United Republic of Tanzania
Service Passport:
A service passport my be issued to any citizen of the United Republic of Tanzania who is in the public service.
Diplomatic Passport:
A Diplomatic passport may be issued to a citizen of the United Republic who is entitled to such passport as specified by the Tanzania Passports and Travel documents Act of 2002.
East African Passport:
East African passport may be issued to citizen of the United Republic of Tanzania who intends to travel within the East African Community Partner States.
 
thanks mkuu
 
Back
Top Bottom