Tanzania ni tishio kwa kitu gani kwa nchi za africa mashariki?

1. nafikiri Dar-Es-Salaam sasa hivi imewazid kenya kwa kunywa bia na nyama choma au inakaribia...watu bongo hawapendi disco kama kenya na uganda...huku wanapenda kuchill kwenye ki bar ili mradi kina parking na kuweka vyuma mpaka monie...Club zinajaa bar ya nje kuliko disco ndani...

2. Mwisho tunatisha kwa kukamatwa na madawa ya kulevya
 
Ndiyo nchi pekee duniani ambayo haitumii lugha ya kikoloni kama lugha ya kwanza..... Pia pekee kwa wananchi wake kuunganishwa kwa lugha moja ya kiswahili ambayo asili yake ni hapa hapa Tanzania....

NAIPENDA SANA NCHI YANGU TANZANIA....
Siwezi kuidharau nchi yangu, KAMA WENGINE WANAVYOFANYA, maana wahenga walisema ukitaka uheshimike sharti ujiheshimu..... mimi naiheshimu nchi yangu..... na hilo litasababisha wengine watuheshimu.....
 
Sijawahi kuwa katika moja ya nchi za Afrika mashariki na kusikia raia wa nchi hizo wanatuogopa kwa vitu gani hasa.
Sisi tunawagopa wakenya katika nyanja nyingi mfano elimu yao inatutisha balaa hasa jinsi wanavyoweza kuongea kiingereza kuzidi wabongo, kwa sababu wabongo kipimo chao cha elimu ni uwezo wa kuongea kiingereza.

Wakenya pia wanatisha kwa ujanja wa kibiashara na wamekuwa wakijipatie mapato mengi kutokana na rasilimali zetu kama mlima kilimanjaro na Tanzanite hata babu wa Loliondo.

Ukija kwa waganda, pia wanatutisha kwenye elimu na ujanja kiaina. Je sisi tunatisha kwa lipi?

Tafadhali soma habari yote ktk link hii niliyokupatia pamoja na comments za wasomaji chini yake ndio utaelewa TZ ni tishio kwa kitu gani ktk eneo la E.A. Kumbuka karibia comments zote ni za wanachi wa KE, UG, na SS::hand:

Ugandan troops killed in South Sudan: Museveni - Africa - nation.co.ke
 
Well
ARDHI..
Tanzania inaeneo kubwa sana ..
Jumlisha Kenya na Uganda hawatukuti..
hakuna kitu muhimu kama ardhi..
angalia jinsi Dubai wanavyo shindilia
Michanga na mawe baharini kupata hio
Ardhi....
Tunajivunia hilo..

ukubwa wa eneo unakusaidia nini hasa wewe binafsi.....nataka nikukosoe au nikufundishe dubai wanajaza mchanga baharini si kwa kukosa ardhi bali wanatengeneza vivutio vya utalii coz ndo uti wa mgongo wa uchumi wao....kama huwezi ku-utilize ardhi huna sababu ya kujivuna ndo hivo mnapumbazwa na viongozi wenu eti rwanda,kenya na uganda wanatuonea wivu kwa kuwa tuna ardhi...huo siyo wehu kweli?we una ardhi hujui kuitumia wao wanajua kuitumia na time is coming mtakapoamriwa kuachia ardhi .....sijui hapo utasemaje.....akili ndogo
 
Soma kichwa cha habari uelewe kabla hujamshambulia. Tanzania utaipenda tu, imekufikisha hapo ulipo
 
Sijawahi kuwa katika moja ya nchi za Afrika mashariki na kusikia raia wa nchi hizo wanatuogopa kwa vitu gani hasa.
Sisi tunawagopa wakenya katika nyanja nyingi mfano elimu yao inatutisha balaa hasa jinsi wanavyoweza kuongea kiingereza kuzidi wabongo, kwa sababu wabongo kipimo chao cha elimu ni uwezo wa kuongea kiingereza.

Wakenya pia wanatisha kwa ujanja wa kibiashara na wamekuwa wakijipatie mapato mengi kutokana na rasilimali zetu kama mlima kilimanjaro na Tanzanite hata babu wa Loliondo.

Ukija kwa waganda, pia wanatutisha kwenye elimu na ujanja kiaina. Je sisi tunatisha kwa lipi?

Sijawahi kusikia mtanzania yeyote anaetamani kuishi huko, wao tu ndio wanatanani sana kuishi Tz. Inaonesha tunawatisha kwa kila kitu!
 
watanzania tupo fit sana ila kinachotuangusha ni msingi mbaya wa lugha ya kiingereza ambayo inafanya watanzania wengi wa loose confidence but kwa elimu yetu sisi tunajua vitu vingi sana kupita nchi nyingine za jumuia
 
Speak for yourself. Naona wewe unatisha kwa kutishika!

Na hili haswa ndilo tatizo la watanzania walio wengi, kutopenda ukweli. Kiukweli wakenya wanatuzidi maarifa na wanaona mbali sana kutokana na elimu yao na ujanja (ambao unatokana na elimu waliyonayo). Katika nchi yeyote utawala bora na transparency ndiyo chachu ya uongozi bora na uleta maendeleo katika nchi, Kenya has it sie tanzania tunabwabwaja tu na CCM wakati it is CCM ndiyo inayoyumbisha nchi toka uhuru mpaka hapa tulipo ila watu hawataki kuona hivyo wala kusikia. Kenya wanajenga barabara imara za kubaliana na challenge ya 20/20 sie ndiyo kwanza kila kukicha tunaibiwa nchi na recycled viongozi wa CCM, mtu ukisema unamwagiwa tindikali au la wana JF wanakuja kulalamika na kukutukana as if hawana mawazo ya kufikiri. Rwanda na Uganda zinapiga hatua kisailensa na kutuacha sie huku rais wetu akiwa bize kusafiri China na sehemu zingine kuwafungua vibaraka wa mtoto wake kwa kuuza unga na kuipaka nchi doa na watu bado wanamshangilia rais, for what? Tukubali ukweli na tupende kukosoana bila sababu za msingi. Nchi yetu ilibidi ndiyo iwe mfano wa kuigwa ila sie ndio tumekuwa waigizaji/waigaji wakubwa kana kwamba hatuna viongozi makini hapa nchini.
 
watanzania tupo fit sana ila kinachotuangusha ni msingi mbaya wa lugha ya kiingereza ambayo inafanya watanzania wengi wa loose confidence but kwa elimu yetu sisi tunajua vitu vingi sana kupita nchi nyingine za jumuia

Kiingereza si elimu na elimu si kiingereza...... kuna nchi nyingi sana duniani, kutia ndani nchi za ulaya watu wake hawajui kiingereza lakini wako mbali sana kimaendeleo..... nenda Ujerumani, Uholanzi au nchi zote za continental europe (ulaya ya kati) hawajui kiingereza... lakini huwezi walinganisha na wazambia au wanaijeria au wazimbabwe kwa maendeleo.... Hivyo ndugu yangu..... maendeleo ni ujuzi..... na ujuzi si kiingereza..mathematically maendeleo si kiingereza...FUNGUKA.... ingekuwa hivyo basi kocha Morinho wa chelsea asingepata kazi uingereza kwa wenye lugha ya malkia.... maana yeye si muingereza na hajui kiingereza....
 
Na hili haswa ndilo tatizo la watanzania walio wengi, kutopenda ukweli. Kiukweli wakenya wanatuzidi maarifa na wanaona mbali sana kutokana na elimu yao na ujanja (ambao unatokana na elimu waliyonayo). Katika nchi yeyote utawala bora na transparency ndiyo chachu ya uongozi bora na uleta maendeleo katika nchi, Kenya has it sie tanzania tunabwabwaja tu na CCM wakati it is CCM ndiyo inayoyumbisha nchi toka uhuru mpaka hapa tulipo ila watu hawataki kuona hivyo wala kusikia. Kenya wanajenga barabara imara za kubaliana na challenge ya 20/20 sie ndiyo kwanza kila kukicha tunaibiwa nchi na recycled viongozi wa CCM, mtu ukisema unamwagiwa tindikali au la wana JF wanakuja kulalamika na kukutukana as if hawana mawazo ya kufikiri. Rwanda na Uganda zinapiga hatua kisailensa na kutuacha sie huku rais wetu akiwa bize kusafiri China na sehemu zingine kuwafungua vibaraka wa mtoto wake kwa kuuza unga na kuipaka nchi doa na watu bado wanamshangilia rais, for what? Tukubali ukweli na tupende kukosoana bila sababu za msingi. Nchi yetu ilibidi ndiyo iwe mfano wa kuigwa ila sie ndio tumekuwa waigizaji/waigaji wakubwa kana kwamba hatuna viongozi makini hapa nchini.

umenena vyema mkuu....ole wa kiongozi yeyote atakayesimaa jukwaani na kusema tz tunaonewa wivu na majirani zetu....ukiangalia kwa undani ugomvi wa mkulu na jirani yake mkulu wa Rwanda ni misimamo yao juu ya urafiki na wageni/wazungu....mkulu wa Rwanda ana msimamo mkali sana juu ya mahusiano na wadhungu...huwatukana hata akiwa kwao huko na akiwa kwake ndo balaa...ukisikiliza hotuba zake kama kuna mabalozi au wageni wadhungu huwa ana-switch kama alianza hotuba kwa kinyarwanda jua atamalizia kwa kidhungu...."msg delivered" anajua hakuna urafiki na hao watu kwa kuwa mara zote nia zao huwa ni maslahi yao kwanza then ukijamaliza cheka cheka wameshachukua kilicho chao ndo utasikia mradi flani mradi flani...mikataba lukuki je, deni la taifa unajua ni bei gani?kazi kumzunguka mtoto wa mkulima na makamera kibao pale anapokuwa anakata utepe wa jiwe la msingi la mradi unaofadhiliwa na serikali ya japan,kwa hisani ya watu wa marekani n.k....kwa Kagame hali ni tofauti.....AGACIRO Development fund mkwanja wa ndani marufuku kuwa wategemezi ndo maana tunadharaulika....hela ya ndani ole wa mnyarwanda atakaye temper nayo-corruption free Rwanda...nini unataka kiongozi agufanyie zaidi?hakuna haja ya kutuhadaa na milima mbuga mito maziwa madini na ardhi ili hali matunda ya hizo raslimali wanakula watoto wenu wavuta bangi na madawa ya kulevya...eti leo unanilazimisha nimwone jirani mbaya?we ndo mbaya futa rushwa,madawa ya kulevya weka utawala wa sheria simamia sheria kikamilifu ndo uniite nije tumchukie jirani yetu anayetaka kutuchokoza ila hivi hivi hunipati ng'o.....mwanao ana biashara kubwa kubwa multinational coy by hooks and crooks atauza tu kwa jirani...mwanagu mimi anavizia gurio pale ng'ambo ndo akapange viazi nikimchukia jirani nitapata chumvi ndani hasa leo hii wakati si kipindi cha campaign?
"nimechanganya na zangu sasa"
 
Hawa viongozi recycled wa CCM hawana akili yaani kama vile akili zao zimeoza. Tanzania ni nchi tajiri sana, wao mpaka leo wanaumia vigezo vile vile vya kudanganya wananchi kuwa sie masikini na misaada ikija wanakula wao majukumu ya nchi hakuna. Kikwete kweli ni janga la taifa.
 
NAIPENDA SANA NCHI YANGU TANZANIA....
Siwezi kuidharau nchi yangu, KAMA WENGINE WANAVYOFANYA, maana wahenga walisema ukitaka uheshimike sharti ujiheshimu..... mimi naiheshimu nchi yangu..... na hilo litasababisha wengine watuheshimu.....[/COLOR][/SIZE][/B][/QUOTE]

safi sana wewe unajitambua!
 
Back
Top Bottom