wabongo bwana!!!
mtu asipoweka sababu ya gari kuuzwa mnafikiria mbovu, akiweka mnaongea vitu ili mradi tu muongee. dully mo upo sawa bro mie sioni kama umefanya vibaya kutoa sababu ya kuuzwa hiyo gari.
bei pia ni nzuri
nyumba ipo kwenye kona karibu na soko la kariakoo! ni sehemu iliyochangamka sana kwa biashara. nyumba za karibu yake kodi kwa kila fremu ni kati ya 300,000 mpaka 700,000 kutegemea na ukubwa wa fremu. nyumba ikishajengwa ina uwezo wa kutoa fremu 10 hadi 18 kutegemea na ramani yake.
masharti yao...
ebwana hiyo machine kali sema imekuja kipindi kibaya.
kuna demu m1 nilimsikia anatafuta rav 4 ngoja nimsomeshe aichukue hii. najua sikosi cha udalali japo laki 5
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.