Recent content by mendez

  1. mendez

    VOA: Huenda Lowassa akashinda Uchaguzi Mkuu Tanzania

    Sheni hapati kitu ccm znz imekufa zamani naona ata 20% hatopata
  2. mendez

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

    Na lundenga ajiuzulu pia
  3. mendez

    Nawezaje kutoa talaka bila kubugudhiwa sana na wakwe?

    Kashapata nyumba ndogo inamzuzua uyo.
  4. mendez

    Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    Ebu nisaidieni katika hizi saini mbili z karume ipi sahahi? Naona ikulu na ccm yake wamechemka hapo.
  5. mendez

    Mwanasheria na Mbunge Wa Chadema Tundu Lissu Atuombe Radhi Taifa Amemdhalilisha Baba Wa Taifa!!

    Tundu lisu yuko sawa iyo hati mliooneshwa jana ni usanii tu, ebu niambieni katika hizi saini za karume ipi ndo yenyewe?
  6. mendez

    Aibu ya mwaka yampata Lissu!

    Ebu nisaidieni ipi saini halali yakarume hapo?
  7. mendez

    Najuta kuwa Mzanzibar.

    Huyu mama hana CV yoyote labda yamatusi nausagaji
  8. mendez

    Hii Kali Mjumbe Mmoja wa Bunge la Muungano wa Zanzibar kasema hivi

    Uyo mama kajichongea mana watu wanayajua yake mengi kwanza aliwahi kuolewa namume wapili bila yakupewa talaka namume wamwanzo alafu saivi hana mume kaendekeza usagaji tu.
  9. mendez

    Mgogoro Ziwa Nyasa: Nimefurahi Suluhisho Nililopendekeza Humu JF Ndilo Lililotolewa na Kina Chisano

    Tanzania tumezoe kuzulumu hili ziwa ni la malawi namiaka yote tunaliona ziwa lote liko kwenye ramani ya malawi,saivi tumeskia kuna mali mafisadi ndo wanajitia letu wizi mtupu.
  10. mendez

    Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?

    We pasco itakua unapumuliwa kisogoni,zanzibar ni nchi naitabakia kua nchi kashindwa babu yako nyerere kuigeuza znz mkoa mtaiweza nyie.
  11. mendez

    Wako wapi wale waliokuwa wakidai Zanzibari yao kwa matusi na vidumu vya tindikali?

    Hatutaki muungano tuachiwe tupumue tumechoka kubanwa,kaunganeni na congo nchi kubwa tuachieni zanzibar yetu ndogo
  12. mendez

    Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?

    Zanzibar ndo mume ndomana tanganyika wanag'ang'ania wasiachwe
  13. mendez

    Ismail Jussa on Zanzibar

    Nyie msitishe watu hamna lolote.zanzibar kwanza shengesha baadae
  14. mendez

    Wako wapi wale waliokuwa wakidai Zanzibari yao kwa matusi na vidumu vya tindikali?

    Wapo utawaona tu,inaonekana znz inakuumeni sana,wnataka nchi yao waacheni wapumue
Back
Top Bottom