Recent content by MENDEZ 226

  1. MENDEZ 226

    Inawezekana watu kupangiwa kazi Utumishi bila majina yao kuwekwa kwenye website sehemu ya placement, yaani kupangiwa kimya kimya?

    Na kwa kuongezea hapo kuna jamaa kaka yake ni kitengo fulani sasa kuna zile nafasi zilitoka mwezi wa 6 zile ajira nyingi lakini tunajua bado hawajaita majina ya interview kwa kada yake ila cha ajabu jamaa kashaenda kuripoti kazini mkoa X na kazi kaanza tayari[emoji16][emoji16] huku watu...
  2. MENDEZ 226

    Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

    Embu nenda Sua pale au Dit au Must alafu uje useme tena walimu ni wabovu wanaofundisha diploma
  3. MENDEZ 226

    Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

    Na shule ya diploma ni shule ya kibabe hasa maana ukitoka hapo unakabidhiwa ofisi au idara kabisa sasa wewe na advance yako atakukabidhi nani ofisi
  4. MENDEZ 226

    Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

    Alafu post za kazi zinakuja kutoka diploma wanatakiwa watu 360 degree 5 ndo utajua hujui kwa tanzania option ya diploma ndo nzur kuliko hiyo ya advance kama unataka mwanao asiteseke sana kwenye ajira ila kama unaangalia kufika degree kwa haraka basi nenda tu advance
  5. MENDEZ 226

    Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

    Huyu wa mifugo hata mimi namuunga mkono kusomea udaktar wa mifugo kwa level ya diploma tanzania hata usipoajiriwa huwez kufa njaa nina mwaka 5 sasa sijaajiriwa lakin naishi vizuri tu kama nimeajiriwa vilee
  6. MENDEZ 226

    Dawa za ARV ziondolewe ili kuondoa janga la UKIMWI Duniani

    Na wengi wao wanajifanya madaktari kuwaaminisha wenzao waache dawa wale mlo kamilii [emoji3][emoji3][emoji3]
  7. MENDEZ 226

    Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Mzee kama huna uhakika bora unyamaze tuu connection ipo na watu wanatembeza vi memo kwelikweli kuna mtu alimface katibu mkuu wa wizara fulani walikutanaga kwenye semina moja iv akajaribu kumchomekea alichojibiwa ni kuwa yeye aombe tu ila kuna vimemo kutoka kwa mawaziri fulani vya kutosha tu so...
  8. MENDEZ 226

    Msaada Ajira Portal ya Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Mimi naambiwa niupdate taarifa zangu kwa namba ga nida nikiweka namba naambiwa namba tayari ishatumika sehemu nyinginee
  9. MENDEZ 226

    Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

    Acha makasiriko mwenzio kaomba ushauri wa simu ya kununua na sio kiwanja kama hujui unakaa kimya pesa ni yake usimpangieee
  10. MENDEZ 226

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Waislamu mwenzenu akibadili dini kwenda ukristo mna kasirika sana utafikiri mna hati miliki ya maisha ya kila mtu
  11. MENDEZ 226

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Akislimu mkristu mnashangalia takbir ila akibadili muislamu kwenda ukristu inakuwa pepo baadhi yenu waislamu mna kazi sana
  12. MENDEZ 226

    Hivi V8 ya Ray Kigosi aliyomjibu marehemu Kanumba bado ipo?

    Alianza kusikika kiba kabla ya huyo domo tena na hit songs nyingi tuu labda kama umezaliwa mwaka 2012
  13. MENDEZ 226

    Nimetapeliwa zaidi ya Tsh. 45,000,000 kwa kuuziwa kiwanja feki

    [emoji23][emoji23] oyaa unataka kuweka stock ya chakula nini
  14. MENDEZ 226

    Mahitaji na manunuzi ya vifaa vya kielektroniki kutoka Nairobi

    Chief unaweza nichekia LCD ya redmin note 10 pamoja na battery lake?
  15. MENDEZ 226

    Manara: Tutaiomba TFF mechi zijazo wapinzani wetu wacheze na Yanga Princess

    Hichi kijamaa kinaendekeza taarabu kuliko kufanya kazi
Back
Top Bottom