Recent content by mendeck jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

    Katika press zake, sikuwahi sikia akisema ndani ya masaa hayo kyiv itakua chini yake, bali ni maneno ya wachambuzi na taarifa za wana usalama wa USA. Hata hivyo, kwa marekani yenyewe katika operation zoote za kutoa utawala madarakani hakuweza kufanya hilo...sana sana ni mwezi mmoja.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

    Picha ya Mzee kanambe please?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu ONTARIO fanya UPESI aiseeee, Wahenga wa namna hii n hatari kwa afya ya kizazi kiPYAA.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    FOREX TRADING AS AN INVESTMENT OPTION WORKSHOP R 3,264.47. ........ ...hayo hapo chief, na link nimekuwekea hapa chini. FOREX TRADING AS AN INVESTMENT OPTION| DAR ES SALAAM. :(
  5. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kabisaaaaa! ila fata maelekezo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    unaweza ku withdraw kwa kudeposit minimum $5 kwa standard account, so n cheap sana chief.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkono mtupu haulambwi chief...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    XM XM Global, wanatoa $30 after validation ya account yako bila hata ya deposit.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    XM, wapo vizuri mkuu. just ingia, www.xm.com
  10. M

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mkuu ni add kwa watsapp group ~0624022356
  11. M

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia jeshi la Syria kwa kombora

    Kwani netaNYAU Israel Ni giant kuliko U.S.A !!!? Hapana, NYAU U.S.A ni giant kuliko netaNYAU Israel. Nyau U.S.A, kanyatiwa, katishwa na Kafyata, Unategemea nini kwa netaNYAU Israel??.
  12. M

    JamiiForums Tanzania North Korea Attempted Missle Launch Failed

    Ka kabisa, hizoo Terminal High Altitude Area Defence (THAAD) Hazipo effective Sana na hata haziwez kufua dafu kwa Operational Submarines-launched devices ambazo anazo N.Korea. Ndo mana Kuna tension kubwa Sana hasa S.korea na Leo VP mike Pence ataenda kuwatuliza Seoul.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Trump launches military strike against Syria

    daaaaaaaah mkuu, nataka niwe mrithi wako kwa hizi Mvua za nondo. #Elungata Jr
  14. M

    JamiiForums Tanzania Trump launches military strike against Syria

  15. M

    JamiiForums Tanzania Trump launches military strike against Syria

    General Mattis, "mad dog"
Back
Top Bottom