Recent content by Mende27

  1. M

    Msaada: naomba kufahamishwa namna ya kuongeza jina la 3 kwenye vyeti.

    Kimsingi haiwezekani kuongeza jina kwenye cheti ambacho tayari umeshapewa (i.e. Cheti cha kuzaliwa au cha kuhitimu elimu. Kama umekuwa ukitumia majina mawili (i.e. Differential Equations) na sasa unataka unataka kutumia majina matatu (i.e. Differential Algebra Equations), unachoweza kufanya ni...
  2. M

    Msaada wa sheria

    Kuweka mwanasheria kuna gharama pia: 1. Mtatumia muda mrefu mpaka kupata hio court order 2. Na huyo mwanasheria nae itabidi alipwe Kwanini msimalizane tu na polisi kama wao wapo tayari kwa hilo?
  3. M

    Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    ukichaguliwa gvt tambaza au kibaha nenda hukhuko ucjisumbue kutafuta private
  4. M

    Je BA International Relations inasoko katika ajira hapa Tanzania?

    ahsante mkuu lkn GPA ya 5 ndo minimum requirement ya UDSM na Mzumbe ni 4.5 sasa kulingana na ushindani uliopo naona chances zangu ni ndogo ndio maana natafuta plan B
  5. M

    Je BA International Relations inasoko katika ajira hapa Tanzania?

    nadhani katika sentence yake ya kwanza alikua anamlenga 'Perry'
  6. M

    Je BA International Relations inasoko katika ajira hapa Tanzania?

    hahahaa... No thanks, alafu dont bother commenting on this post! Nmeona trend ya comments zako katika threads nyingine, ww naona huna msaada kwangu.. Infact hujajibu swali lolote kati ya hayo niliouliza hapo juu!
  7. M

    Je BA International Relations inasoko katika ajira hapa Tanzania?

    Wadau, mimi nimemaliza form 6 mwaka huu nmesoma HGL na ndoto yangu ilikua ni kusoma LLB lakini kwa matokeo mabovu niliopata Div III.13 naona sitaweza kupata nafasi ya LLB, kuna mtu amenishauri nisome International Relations lakini mm sifahamu chochote kuhusu hii course zaidi ya kujua kuwa...
  8. M

    Waathirika wa anguko la RA, EL, et al

    hapo hakuna ki2...! CCM baada ya kuona wamepoteza their fame, kwa sasa wanatafuta umaarufu wa panya (kazi kujipitisha pitisha waonekane) their central idea ni kumake headlines kwenye media...!
Back
Top Bottom