Recent content by Menas12

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SMS nilizozikuta kwenye simu ya mke wangu zimenistua

    Kwenye simu ya mkeo ulikua unatafuta nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lori laanguka Morogoro, wananchi wakimbilia kuchota mafuta

    Maisha yamekaza acha wajisevie
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Huu Uzi ni wa muda mrefu kama sikosei,ulifuatana na wa mtoto wa davido
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

    Unahukumu picha,je,unamaelezo yeyote ya kina kuhusu hiyo ajalj?au tuu team roho mbaya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

    We unaakili sana
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amemenyewa ila bado ana imani

    Tukatafute kwanza msiba wa katibu ulipo, kisha tuje kujadiliana.Huenda katibu yupo hai, hahusiki na hajaandika ila ni moja kati ya michafuano ya kitaasisi.Na masanja atakua kuna analolijua.hivyo mumuombee.
  7. M

    JamiiForums Tanzania HIMARS ni nini?

    Unataka kumiliki ya kwako?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatimae leo nimetua Toronto Canada

    Afya yake ilikua sio nzuri siku kadhaa nyuma hebu kamkague utupe mrejesho
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina yapo mengi, ila kwanini MTARO ulipewa jina la mtandao wetu pendwa.

    Imekaa kichonganishi sana hii.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi faida za kutoa mahari?

    Watatuua mbwa hawa.Kisa wamelipiwa mahari.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kuchimba visima Morogoro!

    Yupo bwana mmoja anaitwa Ramadhan Senkondo amebuni mashine ya kuchimbia visima ya kwake hapa msamvu morogoro na inafanya vizuri sana,ni mfano wa kuigwa na ni mbunifu ambaye serikali ingetakiwa kimuwezesha huenda angefika mbali sana.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Kazi iendelee.
Back
Top Bottom