Nilimaliza kidato cha nne kwa ufaulu mbaya nikiwa na D3 tu nyingine zote F miaka mingi kidogo iliyopita, nikajiendeleza certificate na sasa nina diploma nikiwa na ufaulu wa diploma GPA ya 3.5, nataka nikajiendeleze nichukue degree Open University ila vigezo wanasema siwezi kujiunga kwa sababu...
Nina SMART UPS C (APC)
Hii ni kama back up ya umeme kama unatumia umeme ukakata kama ukiconnect hii desktop haizimi ni mpya kabisa
Tatizo sijajua kuiunganisha ili desktop ichukue moto. Mwenye uzoefu anipe madini wakuu
ni app ya meseji hiyo kuna setup ukifanya hata simu umuachie mkeo au mshangazi wako mwaka utatumiwa meseji za mademu hazioni ata itumwe muda huu na simu anayo kaishika kwenye meseji ngoma haitokei kwenye chatbackground ila ukiishika mwenyewe chap unasoma akija gafla unagusa fingerprint...
nafikiri tujikite kwenye hoja ya msingi hayo mambo ya ft or what mimi ndo niko site wakuu huu uwanja ni mkubwa kwangu imagine niliuziwa 1000000 (1million) mi nimekata hiyo miguu 20 nikala 1020000
Salam,
Ndugu zangu naomba ufafanuzi wa kitaalamu nilinunua kiwanja ambacho kimepimwa kabisa na kiukweli kilikuwa kikubwa sio mtaalam sana ila wakati tunahesabu hatua ilikua 60 kwa 40 na kipo kwenye makazi ya watu kiufupi kamji kanakuwa kweli huku kwetu swax.
Nilivyoona hiki kiwanja ni kikubwa...
tumia hii app inaitwa mood sms, ni noma kwanza kama kuna namba zako za majanga unaziweka kwenye secret chat maana yake hizo namba hata watume meseji 100 halafu simu kaishika wyfe haina notification, na wala screen haiwaki na akicheki kwenye sms box kuna meseji za voda tu
utazionaje hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.