Recent content by Memew

  1. M

    JamiiForums Tanzania utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua

    Vipi ulishajua kutengeneza?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Sensa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Natafuta ajira nipo Iringa nina degree
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari humu, naombeni mwenye connection ya ajira yoyote kwa Iringa mjini. Ni mama wa nyumbani natamani nitoke nikajishughulishe maisha magumu. Elimu yangu ni Degree
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu uchafu sehemu ya siri ya mtoto

    Sawa nilitaka kujua kama kuna aliexperience hii
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu uchafu sehemu ya siri ya mtoto

    Habari zenu wadau.. Nina mtoto ana umri wa miaka sita. Huwa nina tabia ya kuwakagua wanangu ili kubaini kitu cha tofauti kama mzazi. Ni muda sasa nimegundua anatoka uchafu wa kijani sehemu ya uke. Nasema wa kijani sabuni kichupi chake kinakua na rangi ya kijani kwa mbele. Naomba utaalam katika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nalia na Utumishi

    Tatizo langu ni kuupload picha, mara ya kwanza ilikua kubwa baada ya kupunguza inagoma kuupload
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nalia na Utumishi

    Hili tatizo limenisumbua pia jaribu kujaza tena kama walivokuelekeza hapo, nilihangaika sikuelewa pia lakin mwisho wa siku nilivojaza walivotaka ilikubali
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto kukojoa mara kwa mara

    Habari zenu, Naomba mnisaidie hili wakuu, mtoto kukojoa mara kwa mara kidogo kidogo inaweza kuwa tatizo ni nini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kutivu Covid-19

    Asanteni sana wakuu.. hali inatisha tujitahidi sana kuchukua tahadhari
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kutivu Covid-19

    Baba yangu ameshafariki anyway [emoji26]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hospitali nzuri kwa matibabu ya Corona

    Na vipi kuhusu gharama za matibabu? Mzee wangu amelazwa kcmc yaan siku moja tu million 2 hii ni kwel?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kutivu Covid-19

    Naomba kujua gharama za matibabu ya corona kama kuna mwenye experience kwa mfano dawa na sindano
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kutivu Covid-19

    Naomba kujua gharama kwa mtu aliye na corona, baba yangu amelazwa KCMC yaani kila siku gharama hazieleweki kwa siku ya kwanza tu tuliambiwa ni kama1.9 million bado gharama kwa siku nyingine na bima inasaidia kwa kiasi kidogo sana. Naomba kujua pia na gharama za mitungi ya oxygen. Asante
  15. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ada kwa Chuo cha MUST

    Anhaa ok
Back
Top Bottom