Naomba ufafanuzi kuhusu uchafu sehemu ya siri ya mtoto

Memew

Member
Oct 16, 2020
16
11
Habari zenu wadau..

Nina mtoto ana umri wa miaka sita. Huwa nina tabia ya kuwakagua wanangu ili kubaini kitu cha tofauti kama mzazi. Ni muda sasa nimegundua anatoka uchafu wa kijani sehemu ya uke. Nasema wa kijani sabuni kichupi chake kinakua na rangi ya kijani kwa mbele.

Naomba utaalam katika hii ni kawaida au kuna shida?
 
hapo dada kuna shida inakupaswa ufike hospital ili apimwe kujua shida nini au 7bu hasa nini inasababisha hivyo pia ufatilie kujua ni katika muda gani na gani yaan namaanisha akikaa baada muda gani hutokea hivyo kila baada siku kadhaa nk
 
Sawa nilitaka kujua kama kuna aliexperience hii
 
Ungeenda hospital ingekuwa poa zaidi maana mambo ni mengi. Lakini kwa hospital wangetoa majibu ya haraka zaidi na solution
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom