Recent content by member 2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda ila kumuambia naogopa.....

    Mbona simple sana kutongoza demu tena unaweza kula mzigo bila kutamka ilo neno 'nakupenda' Cha msingi tengeneza ukaribu naye alf uwe unajiongeza
  2. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Natamani hali iwe ngumu sana mpaka tukose Bajeti ya Ikulu

    Kwann anatuombea mabaya!! Maana ad tufikie point iyo ata ni watu wangap watakuwa wanapata angalau mlo mmoja kwa siku...... Ila vitu vingine visikie bt usiombe kuviona
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vilio vya wanawake (chumbani)

    Bila shaka unafanya kazi kwenye saloon za kike
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Makonda kwa mara nyingine anataka kumchomoa Shonza kwenye wizara ya habari kama alivyofanya kwa Nape Nnauye. Sijui safari hii atafanikiwa? Kama mnakumbukumbu vizuri siku za nyuma Nnauye alipambana na Makonda kwa kumtumia Ruge kama chambo lakini Makonda aliibuka kidedea kwenye hilo pambano. Kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bakhresa group punguzeni udini

    Iv mnataka waajiriwe wakristo wang kwenye iyo azam??? Vp hao mnaowaita waislamu wanasifa /hawana sifa za kufanya izo kazi???? Naomba mrejo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hata maendeleo ya Ulaya yaliletwa na viongozi wenye nia njema kama Rais Magufuli!

    Mfano mdogo, iv unajua mkandarasi aliyepewa tenda ya kujenga reli amewezeshwa na serikal yake ya Uturuki.... Kwann Tz haiwezekani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hata maendeleo ya Ulaya yaliletwa na viongozi wenye nia njema kama Rais Magufuli!

    Kwa taarifa yako kuna wakandarasi wazawa wanaujuzi kuliko hao wachina sema hawana mtaji bt km serikal ungekuwa na nia ingewawezesha kuwapatia mikopo yenye riba ndongo na ndo inyofanya serikal ya watu wa China
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hata maendeleo ya Ulaya yaliletwa na viongozi wenye nia njema kama Rais Magufuli!

    Lowassa ndo nani kwenye sera za maendeleo???? Mbona umekibilia kwenye siasa badala ya kujadili mada
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hata maendeleo ya Ulaya yaliletwa na viongozi wenye nia njema kama Rais Magufuli!

    Mkuu umeona budget wanayopewa wabongo na hao wachina.... Daaah umekaririshwa vibaya kuwa wa tz hawawezi. Kweli na watu wenye mtazamo km wako ni janga kwa taifa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hata maendeleo ya Ulaya yaliletwa na viongozi wenye nia njema kama Rais Magufuli!

    Mkuu unamaanisha kujitoa fahamu au muhanga. Maana ili maendeleo yapatikane lazima ziwepo Sera za kuinua wazawa wa taifa husika, ndo ata nchi zilizoendelea zilizofanya na sio kuwapatia kandalasi wachina alf utegemee maendeleo kwa wananchi. Maana wao wanapiga mpunga then wanasepa ivyo mzunguko wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hata maendeleo ya Ulaya yaliletwa na viongozi wenye nia njema kama Rais Magufuli!

    Hatuwez pata maendeleo huku kandalasi zote kwa wachina na wazungu huku sisi tukibaki bila mia!!! Duuuh Tz bado tunasafari ndefu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Ngoja tusibilie akajielezee mwenye kwa pilato kesho kutwa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwenye VVU

    Daaah mkuu bado unaamini ukimwi unaambukizwa kwa ngono pekee
  14. M

    JamiiForums Tanzania UN yampongeza Rais Magufuli na Jenerali Mabeyo

    Daaah vitu vingine vinachekesha!! Kumbe adi lumumba kuna tawi la UN
Back
Top Bottom