Nampenda ila kumuambia naogopa.....

Nampenda ila kumuambia naogopa.....

Usimwambie mwaache aolewe awe na familia na ww uwe na familia yako, mumewe akifa utakuja kumpa pole (KEEP HER GUESSING )
 
Ndugu wanajamii forum kwanza nawasalimu wote popote mlipo... Huku imani yangu ikiambia hamjambo.
Basi kwa pamoja wanawake kwa wanaume members wa jamiiforum naomba munisaidie njia za kumpata msichana nimpendae. Naamin wadada ndio mtanipa njia mzuri zaidi. Je! Huyo mchumba ulienae au mchepuko ulionao au mume ulienae alitumia njia gani kukushawishi mpaka ukamkubali hadi kufikia hapo mlipofikia??????
Brothers nanyi nisaidie boy mwenzetu njia mzur ya kutumia ili nimpate bint ambae imetokea kumpenda ila nahisi nikimuambia hatanikubali.. Nitumie njia zipi ili nimshawishi anikubali?????

Msaada wenu tafadhali........
Chelewa tu,na subiri tu,wakikatiza vipanga haponi utaambulia makombo.Leo hii hii fanya umsubiri mahali omba uongee nae mweleze kilicho moyoni,kesho nikimuona hujamueleza nachukua mzigo naenda NYUMBA ZA WENYEJI wa Dar(guest) kugegeda ubaki ulivyo
 
Ngoja nikupe mbinu rahisi....

Mwimbie nyimbo hii..

Ukimuona msimamishe halafu anza hivi.....

Wewe: subalkheri vivian waonaje hali yako.

Vivian: subalkheri ( jina lako ) hali yangu kama yako,

Vivian: wawaonaje wazazi nyumbani utoke yako,

Wewe: kawanusuru mwenyezi hofu yao juu yako,

Vivian: eenhre hebu nijuze shida yako,

Wewe: shida yangu sijiwezi, dawa yangu
( K ) yako.
[emoji441] [emoji444] [emoji4]

[emoji1] [emoji23] [emoji4]
 
Kumla hapana limenenepa sana.manyama kibao limtumbo hiloo ule mvuto wote umepotea.kweli acha waringe tuu sasa hivi hawa madem huwa wanakongoroka vibaya sana
Wanakula kula hovyo...

Unakuta nyumbani mpo watatu ila chakula kinapikwa kilo 2 ½ utafikiri kuna mgeni nyumbani, mezani anakula kilo 1 nzima halafu anakuambia hajashiba... [emoji23] [emoji1]
 
Kuna bidada mmoja hapa jirani yangu toka zamani nampendaa balaa lakini kumuanza ikawa shida.kila nikikutana nae tunaangaliana muda mrefu nikajua tu huyu dada anatamani asikie chochote kutoka kwangu!lakini ajabu nikakaa kimya hata salam hakunaga.baadae jamaa limoja likamuwahi likamzalisha watoto wawili.karibuni hapa ndo tukaanza kusalimiana na kuzoeana!ndo nikamtania nilikuwa nakupendaga weee!akanijibu yaani kipindi kile nikikuona tu nilikuwa naloa.yaani hata ungenishika mkono bila kusema chochote ungenikula
Unajilaumu kabisa, ila hujachelewa....
 
Ila mkuu ukiambiwa kuusu magufuli unasema tena mbele za watu.
MIEE NAMPENDA MAGUFULI BALAAA.
CC. MTULIA
 
Mbona simple sana kutongoza demu tena unaweza kula mzigo bila kutamka ilo neno 'nakupenda' Cha msingi tengeneza ukaribu naye alf uwe unajiongeza
 
Umesema ukimuambia hatakubali. Sasa utataka tukuambie nini tena mkuu?
 
Andaa vocal zako fresh,zipangilie vzr kwenye karatas halafu ukikutana naye unaanza kuisoma kama hotuba
 
Kama umesema
bint ambae imetokea kumpenda ila nahisi nikimuambia hatanikubali.. Nitumie njia zipi ili nimshawishi anikubali?????

Yann ushaurii
 
Ndugu wanajamii forum kwanza nawasalimu wote popote mlipo... Huku imani yangu ikiambia hamjambo.
Basi kwa pamoja wanawake kwa wanaume members wa jamiiforum naomba munisaidie njia za kumpata msichana nimpendae. Naamin wadada ndio mtanipa njia mzuri zaidi. Je! Huyo mchumba ulienae au mchepuko ulionao au mume ulienae alitumia njia gani kukushawishi mpaka ukamkubali hadi kufikia hapo mlipofikia??????
Brothers nanyi nisaidie boy mwenzetu njia mzur ya kutumia ili nimpate bint ambae imetokea kumpenda ila nahisi nikimuambia hatanikubali.. Nitumie njia zipi ili nimshawishi anikubali?????

Msaada wenu tafadhali........
tapatalk_1520067821544.jpeg
 
Back
Top Bottom