Recent content by Melxcom991

  1. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA JINSI YA KUWEKA QUICKBOOK KWENYE CLOUD

    Habari wakubwa, Naomba kwa yeyote yule anayejuwa na mwenye uwelewa namna yakuweka Quickbook kweny cloud anicheki 0752338979
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya makampuni

    Je inawezekan ku host Quickbook desktop kweny cloud?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya makampuni

    Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfumo wa kutumia kwenye kampuni

    Viongozi habari zenu, Naomba kwa yeyote anaejuwa mfumo unaoweza kutumika kweny kampuni ambao unaweza kutumiwa kweny hizi departments 1.Accounting 2.Inventory 3.Sales 4.Human resource Etc. Anisaidie jina lake
  5. M

    JamiiForums Tanzania QUICKBOOK CLOUD

    Wakubwa habari zenu, naomba mtu yeyote mwenye ujuzi na quickbook accounting software anisaidie hili swali, Je inawezekana kutumia Quickbook desktop kweny cloud?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutengeneza system kutumia wordpress

    Wataalamu,nilikuwa nauliza inawezekana kutengeneza mfumo kwa kutumia WordPress kwa ajili ya kuplace order! Unahizi functionalities! • Wafanyakazi wa ofisi wanaweza kuweka maombi(order placing) ya vitu vinavyotakiwa kununuliwa mtandaoni. • Mtu wa manunuzi (procurement) anaweza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba kimoja self

    Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa ukuta
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uzi wa ujuzi wa ODOO

    Wakubwa nilikuw naomba kwa yeyote anayejuwa odoo ajaribu kunielewsh inavyofnya kazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Elimu na maisha ya Maria De Mattias Secondary school

    Kwa walio soma Maria De Mattias high school, ningependa kuomba msaada wenu kwanza issue ya elimu wanafunzi wanafundishwa then life style ya shuleni ikoje?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi wanauza Suti Dodoma?

    Nilikuwa naomba kujuwa sehemu gani kwa dodoma wanauza suit za special affordable price
  11. M

    JamiiForums Tanzania Internship bodi ya Sukari tanzania

    Habari viongozi, mimi nimemliza chuo nimesoma data analysis, nilikiwa na uliza. Bodi ya sukari huwa inatoa internship
  12. M

    JamiiForums Tanzania Posho kwa waajiriwa kwenye maduka ya hardware(construction material)

    Mliojibu swali wote hamjielewi, rudieni kusoma swali then mjibu uzi kazi kukurupuka tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Posho kwa waajiriwa kwenye maduka ya hardware (costruction material)

    Wakuu nimepata ajira ya kuuza hardware Dar, Kariakoo ila mshahara ni laki 3 kwa mwezi. Nilikuwa naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uwelewa na hii kazi ya hardware, huwa ina marupurupu?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Posho kwa waajiriwa kwenye maduka ya hardware(construction material)

    Hellow
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa laki tatu Dar

    Kazi ipo kariako, eneo gani la kupangisha room lip karibu na kariako?
Back
Top Bottom