Tufundishe kunyamaza, wabongo kila mtu ni mhandisi, kocha,teacher,master, na wataalamu wengine wa kola nyanja, mm niliona vision ya makamba kipindi tu alipoteuliwa kuwa kiongozi wa wizara hii
Sema wabongo shemeji, ongeeni, mshuteni, msimangeni but this dude January makamba is the best among...