Recent content by meliksedeki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanaotaka kuapply SAUT Mwanza

    Wanaotarajia ku apply SAUT Mwanza kuweni makini. Kama ni mtoto wa fukara kama mimi usijaribu kuomba SAUT main campus, wapo kimaslai zaidi na hawajali hali ya mtu. Kwa mfano; Kuna huu mchezo wa kupiga penati, yani ukichelewa kulipa ada wanakupiga penati ya laki moja. Mimi katika kulipia ada...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeiunda social network hii.Wataalam wa IT karibuni kwa ushauri. kwa ushauri!

    Kwanza yenyewe sio app ni kablog kachanga ambako hakana chochote,hata mimi naweza kuka design ndani Ya lisaa tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika hapa

    Soma tu,ila ajira juu yako
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

    Sio lazima ni utayari wenu kama wazazi kuishi pamoja au la
Back
Top Bottom