Recent content by Melelani

  1. Melelani

    Je, ni sahihi mambo haya kufanywa na wanandoa?

    Mjomba ndoa iache tu. Hivi unawajua watu wanaoitwa WANAWAKE mkuu? acha niishie hapo tu. Kuna jamaa kasema hapo kuwa ukikua utaona tu.
  2. Melelani

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Eti akili! Halafu mchungaji anawataka mmchangie anunue gari ila muumini anapotaka gari mchungaji huyo huyo anawaambia mmuombee. Bado michango na sadaka acha tu. Kuhusu hizo hospitali na miradi mingine muumini hagusi hata mia vinginevyo uwe umeajiriwa. Pepo na mali ni vitu viwili tofauti kabisa.
  3. Melelani

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Tutamshughulikia yeye aje tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Melelani

    Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

    Siyo Tabora tu haya mambo yapo karibia miji yote hapa TZ
  5. Melelani

    Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

    Dar es Salaam Mwarabu alipaa? Huna lolote.
  6. Melelani

    Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

    Acheni uongo ninyi watu. Hizi gari huwa unatununulia wewe, mijengo iliyopo Cheo, Ipuli, free mason, Nk Ulitujengea wewe?
  7. Melelani

    Naomba ushauri wa kiafya

    Tayari mzee hapo, mmoja wenu siyo mwaminifu.
  8. Melelani

    Goli 5 mnazoshinda mtuambie Goli zipi 5 bila penati kuwepo

    Goli ni tano full stop [emoji1630]
Back
Top Bottom