Recent content by meleka

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO, mimi ninaishi manispaa ya tabora mtaa wa Kigamboni, mtaa huu hatuna line ya umeme licha ya eneo kupimwa na miundo mbinu nyingine kama maji kupita, tumekua tunaenda mara kwa mara ofisini TANESCO na kila mtu anatoa majibu yake, mara hakuna nguzo, mara tusubili mradi tupo gizani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe tupeni fedha zetu

    Kwa muda sasa hapa mzumbe university pamekua na shida ya fedha za BOOM kupewa kwa wanafunzi husika richa ya serikali kuzituma kwenye chuo husika. Vipi kwenye vyuo vingine na huko lipo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wosia wa kuzikwa akiwa amekaa watekelezwa Maswa

    Mtemi yeyote lazima azikwe amekaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naugua mke wangu akipata ujauzito

    Mkeo akiwa mimba huwa anasumbuliwa na UTI na wewe anakuambukiza ndo maana kiuno kinakuuma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mbona tv one hamuoneshi baadhi ya visembuse vyenu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Kuna baadhi ya decoder za startimes hazina TV one kwa nini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi usiyoyajua kuhusu marehemu Aboud Jumbe

    Jumbe alizaliwa sudan
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wasukuma na utamaduni wa kutakasa mapacha

    Ni lazima ufanyiwe matambiko,,, na hasa yapo shinyanga na nzega tabora,, wao huita ukango,,, hata modern society naona mnawapeleka mapacha kanisani na kama mmoja hamuwapeleki... Hizo ngoma zipo na kwa kwa mwanza hazipo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye serikali yawa sikivu, local channels sasa zimerudi hewani bila malipo

    Where is TV one on star times decorder
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye serikali yawa sikivu, local channels sasa zimerudi hewani bila malipo

    Mbona Chanel ya TIV ONE haionekani star times
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sielewi tofauti ya dunia na ulimwengu

    Kenzy uko sahihi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wazee wanaoweza kutumiwa kuunda kamati ya kushauri uongozi hii hapa...

    Una uhakika Paul bomani yupo
  13. M

    JamiiForums Tanzania KATI YA HIVI VYUO ARDHI NA SUA

    Housing and infrastructure planning ni course nzuri Sana,,,
Back
Top Bottom