Recent content by Mekechi

  1. M

    Mkurugenzi mpya atia doa wateule wa JPM alihukumiwa kifungo mwaka jana.

    Huyo dada alikuwa ni mtumishi wa halmashauri babati hadi alipoteuliwa kwa nafasi hii. Kama angekuwa amekutwa na makosa ya jinai asingeendelea kuwa mtumishi wa umma
  2. M

    The black Thursday

    Irrelevant
  3. M

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Cha msingi Ni uwezo wake jukwaani
  4. M

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Cha msingi Ni uwezo wake jukwaani
  5. M

    Serikali ichunguze uanzishwaji wa vyuo vikuu utitiri (holela) bila kuangalia madhara yajayo

    Hoja yako haina msingi, kweli inadhihirisha Una vyeti vya kuunga unga, nashauri urudie kusoma upya
  6. M

    Kipi bora kati ya Mbio za Mwenge na Muungano?

    Nilitarajia kabisa mbio za mwenge ama zingedutwa kabisa au zingefanyika kimkoa. Ni upotezaji muda na rasilimali. Mafuta ya magari pamoja na posho na manunuzi yasiyofuta taratibu za manunuzi
  7. M

    RC Makonda kuleta wachina kuzoa taka na kutengeneza Madawati

    Nampongeza sana huyo kijana, ana mawazo ya kimaendeo. Watanzani wengi tumebaki kuwa walalamikaji, hatufanyi chochote tunakaa tu kulalamika. Mtu kaja na wazo, wengine wanamshambulia tu na kumlalamikia badala ya kumpongeza. Hongera sana Mh. Makonda, una maono
  8. M

    Taarifa: Upokelewaji wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Jijini Dar es Saalam

    Mmhhhhh, sijawa kumsikia, sijui siasa alianzia wapi
  9. M

    Tanzania ni nchi ya 146 kati ya nchi 158 ya wananchi wasio na Furaha

    Huo Ni uwongo mtupu,Waethiopia Sana furaha gani kutuzidi sisi wakati Kula wakati Kula wakati wanakamatwa wakitoroka nchi Yao, Wakimbizi wa Burundi Sana furaha gani kuliko wtz wanaowapa hifadhi? Ni kiini macho
  10. M

    Ripoti: Tanzania nyuma kwa furaha duniani

    Siamini hii ripoti, yaani nchi zenye vita na njaa kama Ethiopia, kongo na Burundi zinatuzidi kwa furahs! Haiwezekani. Hii imetengenezwa
  11. M

    Lowassa: Rais Magufuli ni mfano wa viongozi wa Afrika wasio na maono

    Mbona mnasahau, mheshimiwa Lowasa alikuwa na mchakato kuleta mvua?
  12. M

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    There are some Tanzanians who need to be colonized.The person who thinks of begging language is having extremly dependent ideas that are no longer needed in our country. We should think on how to tape our resources instead of sharpening our begging skills
  13. M

    Wafanyakazi 597 wa NIDA wafutwa kazi. Waliofutwa wadai hawakulipwa mshahara kwa miezi 3

    Haiwezi kuingia akilini wafanyakazi 1300 wanazalisha vitambulisho 1200 kwa siku. Ina maana wafanyakazi 1200 Kula mmoja anatengeneza kitambulisho kimoja kwa siku!! Wengine 1000 wamebaki
  14. M

    Magufuli amekosa exposure

    Mie naona Ni vizuri aweke vizuri masuala ya ndani kabla ya kufikiria kutafuta misaada. Ni ujinga Sana kufikiria misaada badala ya kusimamia vizuri rasilimali zilizopo ndani ya nchi. Kwa mawazo tegemezi kamwe hatataendelea. Wenye mawazo hayo washindwe na walegee
Back
Top Bottom