Maana kama unamwita mtu kupitia tv&radio alafu baadae ukamkamata akakwambia hajatizama tv wala kuskia radio utamshitaki kwa kosa gani au atakua amekosea kifungu gani cha sheria, kwani siku izi TZ ni lazima na amri kila mwananchi asikie radio na kutazama tv
Ivi me najiuliza, commissioner w kupambana n dawa z kuleva kaisha anza kazi au?, maana niliona siku ile kapewa majina90naaa, 2 najiuliza kama kaanza kazi inamana swala la mbowe yeye c ndie anaelishughulikia au ni siro?, kingine nachofikili au siro&makonda anataka atimize agizo alilopewa la...
Mwakyembe hamna kitu ndio wale wale, kapiga dili za mabehewa y tren mpaka basi, then anakuja anajifanya kama anauuchuuuunguu vile, alafu awa jamaa bado wanajua kama waTZ hatuna kumbukumbu sijui, yani kuna wakati nakaaaa najiulizaaa awa jamaa wanatuchukuliaje nakosa majibu
Mtazamo wako lazima ueshimiwe coz ndio mtazamo wako, but magufuli alinunua kivuko cha kwenda bagamoyo kvuko kibovu #pesa nyingi then zikatumika pesa nyingi kukarabati sehem kitapokua kinapaki #fery # ,kwa taarifa yako hadi leo ii hakijulikani kipo wapi labda nikuulize ww mkuu unaweza kujua kipo...
Unajua unachoshindwa kuelewa ni kitu kidogo sana NI HIVI #mbowe ajakataa kwenda yeye yupo tayari kwenda kwa maelezo yake njia sahihi ya kumwita ndio aijatumika, kama unakumbuka ata gwajima alisema wito wenyewe kaitiwa redion sasa labda nikuulize wewe msomi nchi gani au sheria gani unayo ijua ww...
Me nishasanuka kitambo, ili swala la madawa kuna mtu Alikua anatafuta ilikua inatafutwa njia ipi ya kumnasa na kukmkomoa, ila selikali inashindwa kutambua kupitia manji watanzania wangapi wamepata ajira na nina imani kama wangejiuliza na kufkilia kesho kwamba kwa kumkomoa #manji watanzania...
Nchi hii imeharibika sana kila mtu amekua anafanya awezavyo bila kufata sheria, mambo ya msingi yapo mengi tena yenye tija kwa taifa wanayaacha wanakalia siasa uchwara
Nchi hii imeharibika sana kila mtu amekua anafanya awezavyo bila kufata sheria, mambo ya msingi yapo mengi tena yenye tija kwa taifa wanayaacha wanakalia siasa uchwara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.