Naikataa ccm kwa Kuwa bado inaendesha serikali kwa mfumo wa kizamani, hawaendi na wakati, mpaka sasa hawajui watanzania wanakua nini? Bado wanajilimbikizia posho, wanabambika bei manunuzi ya serikali, wana malipo hewa ya mabilioni ya shilingi, matumizi ya fedha za watanzania kwa mambo yasiyo ya...