Recent content by Meiwilly

  1. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa Mdada wa kukaa na mtoto wa miezi 3 (wa kuja na kuondoka)

    Eneo ni Kigamboni soweto. Itapendeza kama utakuwa unakaa maeneo ya karibu na kigamboni soweto. Kazi ni kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi jioni. . Awe na upendo na uzoefu wa kulea mtoto. DM for more info
  2. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Inaandika hivi
  3. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Wewe Unaweza ku login?
  4. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania HESLB: Batch One Out Now

    Mimi inagoma ku login tatizo ni nini. Inaandika no active account found
  5. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview TAESA

    Nimeona mkuu ..
  6. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview TAESA

    Naomba kama ikiwezekana upige screenshot tuone hicho kipengele Cha aptitude test kwako umeandikiwaje !
  7. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview TAESA

    Nimefanya vyote mwezi wa 8 mwaka 2023 .. na Mimi Nina tabia haipiti siku bila kutembelea account ya taesa .. mwenzi wa 8 wote Kila siku naingia kwenye account. Pia nilivyomaliza interview niliulizwa una swali lolote la katuuliza nikauliza kinachofuata baada ya hapa ni kipi akasema nisubiri...
  8. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview TAESA

    Sawa mkuu ... Kama kuna Mwingine aliefanya aptitude test atuambie ...
  9. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview TAESA

    Nimefanya training na interview. Ila hiyo aptitude test bado.. aptitude test mbona kama vile bado haijaanza kutumika
  10. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview TAESA

    Umefanya lini aptitude test? Mimi sijawahi kupewa aptitude test wanaandika prepare for the test
  11. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kuitwa interview TAESA?

    mh
  12. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Sasa inakuaje huoni hiyo opportunity. Hakikisha page Ina load Hadi mwisho na mtandao uko vizuri
  13. Meiwilly

    JamiiForums Tanzania TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Kawaida Inaanza training ndio ifuate interview. Angalia kwenye dashboard Yako kama training na interview kumewekewa tick
Back
Top Bottom