captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,079
Shukran mkuu🙏apo panapoonyesha scheduled ndio siku ya training iyo tareehe unattakiw uende na uzingatie huo muda
Shukran mkuu🙏apo panapoonyesha scheduled ndio siku ya training iyo tareehe unattakiw uende na uzingatie huo muda
Can u consider SALARYKuna wale rafiki zangu hawachagui Kazi hawana Mishe yoyote ukiwapa direction wapi Kazi ilipo wanakwenda kufanya mladi Tu iwe ya Halali
Nna ujumbe wenu hapa
Kama uko dar fika mpaka Gongo la mboto mwisho opposite na chuo cha Kampala ukifika hapo uliza mtu akuelekeze kilipo kiwanda kinaitwa NAMELA
Hiki ni kiwanda cha nguo ndio hatua ya Kwanza kabisa ya uandaaji nguo kama mashuka..khanga..vitenge maduvet n.k ufanyika na Kisha baada ya hapo mzigo upelekwa NIDA pale bara bara ya Mandera kwa ajili ya ukamilishaji kuwa nguo kamili
Kwaiyo kijana yoyoye aliepo around Gongo la mboto Majohe au maeneo anayoweza kufika hapo NAMELA naomba kuanzia kesho asubuhi avae vizuri kwa heshima aweke nywele zake smart ata ukisimama mbele za watu unaonekana mwenye tabia njema sio unaenda kuomba Kazi umevaa modo uko nusu uchi au umenyoa viduku na unanuka sigara
Ukifika getini muulizie mtu mmoja anaitwa chifu na umwambie umekuja kuomba Kazi yoyote atakae taja jina Hili pale getini huyu mtu atajua Moja kwa Moja umetoka Kwangu so utapewa maelekezo kwa haraka
Kumbuka kubeba kitambulisho cha kupigia Kura au namba ya Nida
Cha kuzingatia unadhifu wako maana mwingine akifika getini anaambiwa hakuna kazi kutokana na alivyokwenda kumbuka kupendeza unapokwenda kuomba Kazi maana wewe ni masikini tuu sio kichaa
nimejitahidi kufika lkn sikufanikiwa kupata kazi nafasi zilitoka chache ivyo labda zikitoka tena mbeleniKuna wale rafiki zangu hawachagui Kazi hawana Mishe yoyote ukiwapa direction wapi Kazi ilipo wanakwenda kufanya mladi Tu iwe ya Halali
Nna ujumbe wenu hapa
Kama uko dar fika mpaka Gongo la mboto mwisho opposite na chuo cha Kampala ukifika hapo uliza mtu akuelekeze kilipo kiwanda kinaitwa NAMELA
Hiki ni kiwanda cha nguo ndio hatua ya Kwanza kabisa ya uandaaji nguo kama mashuka..khanga..vitenge maduvet n.k ufanyika na Kisha baada ya hapo mzigo upelekwa NIDA pale bara bara ya Mandera kwa ajili ya ukamilishaji kuwa nguo kamili
Kwaiyo kijana yoyoye aliepo around Gongo la mboto Majohe au maeneo anayoweza kufika hapo NAMELA naomba kuanzia kesho asubuhi avae vizuri kwa heshima aweke nywele zake smart ata ukisimama mbele za watu unaonekana mwenye tabia njema sio unaenda kuomba Kazi umevaa modo uko nusu uchi au umenyoa viduku na unanuka sigara
Ukifika getini muulizie mtu mmoja anaitwa chifu na umwambie umekuja kuomba Kazi yoyote atakae taja jina Hili pale getini huyu mtu atajua Moja kwa Moja umetoka Kwangu so utapewa maelekezo kwa haraka
Kumbuka kubeba kitambulisho cha kupigia Kura au namba ya Nida
Cha kuzingatia unadhifu wako maana mwingine akifika getini anaambiwa hakuna kazi kutokana na alivyokwenda kumbuka kupendeza unapokwenda kuomba Kazi maana wewe ni masikini tuu sio kichaa
mhnimejitahidi kufika lkn sikufanikiwa kupata kazi nafasi zilitoka chache ivyo labda zikitoka tena mbeleni
Mbn mm Sina hiyo registration number unaipataje..Ni Ile form au Ile unajaza online..Naomba muongozo tafadhaliBaada ya kujiunga na kupewa registration no, naomba msaada wakuu kinachofwata hapo nikipi?
Unajaza online baada ya hapa utaisend wao watakutumia email ukirudi tena kweny AC yako utaikuta tayarMbn mm Sina hiyo registration number unaipataje..Ni Ile form au Ile unajaza online..Naomba muongozo tafadhali
Mbn mm Sina hiyo registration number unaipataje..Ni Ile form au Ile unajaza online..Naomba muongozo tafadhali
Hivi taesa wanachukua watu waliomaliza kuanzia mwaka gani Kwa internship isije ikawa hatuna vigezoView attachment 2738618utaipata baada ya kujaza izo taarifa hapo[emoji115] hakikisha unazijaza vizuri before kusubmit iyo CV hii ndo itakuwezesha kupata iyo registration number
hapana maana ukijaza taarifa zako online ukazituma zitarusishwa uweke cheti na cheti huna ili upate reg no lazima ujaze viziri na uweke vyeti vyoteHivi ikiwa Bado huna cheti..je transcript itafaa?
Mkuu Taesa kwa mwanza wako maeneo gani?hapana maana ukijaza taarifa zako online ukazituma zitarusishwa uweke cheti na cheti huna ili upate reg no lazima ujaze viziri na uweke vyeti vyote
Kwa ili mkuu sijajua ata wenyw uzoefu watupe muongozoHivi taesa wanachukua watu waliomaliza kuanzia mwaka gani Kwa internship isije ikawa hatuna vigezo
SawaKwa ili mkuu sijajua ata wenyw uzoefu watupe muongozo
Shukrani sana..Leo nimependa Kweny ofisi zao..Kumbe haijafika tatizo cjaattach transcript ya cheti kimoja kwahy IPO pendingUnajaza online baada ya hapa utaisend wao watakutumia email ukirudi tena kweny AC yako utaikuta tayar
Vyeti lazima mzeeShukrani sana..Leo nimependa Kweny ofisi zao..Kumbe haijafika tatizo cjaattach transcript ya cheti kimoja kwahy IPO pending
Nenda pale samaki round about, station road ndo wapo mkabala na sheli ya mafuta na NSSF houseMkuu Taesa kwa mwanza wako maeneo gani?
Unachotakiwa ww ni kujaza taarifa zako tu suala la mwaka gan wao hawaangalii, nafasi ikija ni yeyote mwenye amefiti anachukuliwaHivi taesa wanachukua watu waliomaliza kuanzia mwaka gani Kwa internship isije ikawa hatuna vigezo
Shukran sana mkuu🙏Nenda pale samaki round about, station road ndo wapo mkabala na sheli ya mafuta na NSSF house