Recent content by meinkemp

  1. M

    Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

    Kwani kampeni zimeanza? Mbona hatuambiani
  2. M

    Msongo wa mawazo unataka kuniua, ndoa yangu imekuwa kiama changu

    Pole sana Hapa kuna ushauri wa vitendo unaoweza kukusaidia: 1. Kiroho na kiimani Jikumbushe kuwa kila mitihani ni sehemu ya maisha, na Mwenyezi Mungu hakuachi peke yako. Sala, dua na kujisomea Qur’an zitakupa nguvu ya moyo na subira. Mtume ﷺ amesema: “Hakika baada ya dhiki, kuna faraja.”...
  3. M

    Nimepewa mechi nikashindwa kusimamisha

    Ungekuwa kwenye ndoa ningekushauri, ila kumshauri mzinifu ni kujiongezea akiba ya madhambi, miaka 27 ni umri sahihi wakuwa kwenye ndoa
  4. M

    Majadiliano: Wapalestina kupelekwa Sudan Kusini

    Umoja wa mataifa inamaana wameridhia hili
  5. M

    Namtia moyo Pastor Tony Afya duni ya akili imewafanya wengi Wawe na chuki kwa waliofanikiwa!

    Ni mpambanaji sana tunampongeza kwa hilo ila UKWELI ALICHOSEMA MKEWAKE PALE MADHABAHUNI NI UWONGO hata pastor mwenyewe anajua ule ni uwongo
  6. M

    Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Tatizo kuu ni kwamba imegawanywa kwa kutumia vipimo vya moja kwa moja kutoka milioni moja kwa kila mrithi, badala ya kuhesabu vipimo hivyo baada ya kutoa sehemu ya kila mrithi ipasavyo na kugawanya mabaki kulingana na sheria. Kosa la kwanza Hawakuanza kwa taratibu sahihi: 1. Mke anapewa 1/8 ya...
  7. M

    Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

    Huu ni muujiza wa bwana, bwana alitenda, halelujah
  8. M

    Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Sura ya 112:1_4 Inayo thibitisha kuwa mungu hafananishwi na kiumbe chochote, سورة الإخلاص بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ ١. قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ 1. Sema: Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Mmoja. ٢. اللَّهُ الصَّمَدُ 2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ٣. لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ 3. Hakuzaa...
  9. M

    Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Nakushauri kwanza, tafuta ukweli kupitia dini ya Kiislamu utapata majibu yote tena taliyonyooka sana, Twende kwenye mada yako juu ya jinsia ya Mungu Kwanza Mungu kiislamu tunatumia jina la ALLAH , yaani humaanisha Mungu wa pekee, maana duniani kuna miungu mingi sana, wengine wanasema yupo...
  10. M

    Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

    JIBU KUHUSU QUR'AN 67:5 NA MASWALI MENGINE 1. Kuhusu Qur'an 67:5 na “kurushiwa mizinga ya nyota” Aya inasema: (Surat Al-Mulk 67:5) Maelezo ya tafsiri: “Nyota” hapa haimaanishi sayari au jua kamili. Tafsiri nyingi za kiswahili husema "taa" (Arabic: masabih) – inaweza kumaanisha mionzi...
  11. M

    Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    Hii kichwa ni zaidi ya hicho kidude ulicho kitaja, bado una hoja dhaifu sana juu ya uislamu , endelea kuja na hoja zako na zitajibiwa ipasavyo.
  12. M

    Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    sipo kutetea ushirikina wala dini kwa upofu. Lengo langu ni kuweka msimamo wa Uislamu sahihi kwa mujibu wa Qur’an na Sunnah, si kwa mazoea ya wachawi au waganga wanaotumia dini kama kinga ya kuficha uchawi wao. Sasa ngoja nijibu hoja zako moja kwa moja kwa dalili, SWALI LAKO: “Kwa nini...
  13. M

    Sura za kurogea watu na kufanyia ushirikina

    Iko hivi, dini ya uislamu ni salama sana na upo wazi sana , ILA KUNA MAMBO YANACHANGANYWA SANA NA WAISLAMU WENYEWE, NIkweli kuna waislamu wanachanganya dini na ushirikina , ila hayo wanayoyafanya ni kinyume na Uislamu wenyewe, huo ushirikina mnaouona kwa baadhi ya waislamu sio dini ni utashi wa...
Back
Top Bottom