Recent content by meemu_imbaseni

  1. M

    Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

    Ukifanya trip hiyo ndefu mara moja kili wiki mbili kuna haja ya kufanya DPF delete? Na nikichukua gari bandarini lazima nifanye hiyo deletion? Ahsante mkuu
  2. M

    App gani za Tanzania unazo kwenye simu yako?

    Simu ita project vipi ukutani? Kuna kifaa kinaongezewa kwenye simu?
  3. M

    Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    40 sec kuaanda logic ya authentication ? Unatumia package?
  4. M

    Nahitaji website kwa 100k

    Youtube kuna mjamaa ana video ana rate watu wa fiver, upwork etc. Wa bei tofauit tofuit from cheapest to highest. Anawapa the same project na baadae anaonesha results za kila mtu. Ungeona utumbo wa hao watu wa $25 utafurah mwenyewe
  5. M

    Earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 mwisho isizidi hapo

    Natumiaga za Ofia. Zina sauti na bass nzuri sana wala haziumizi masikio. 7k mpaka 10k kwingine
  6. M

    Ttcl fibre

    Umekosea mkuu. 2027 hapo ndo kwanza unapigiwa simu ya kufanyiwa survey[emoji1787][emoji1787]
  7. M

    Nahitaji website kwa 100k

    Ni vizuri umeamua kujifunza. No doubt utapata kujionea mda waliowekeza na vikwazo walivyopitia kujifunza web development hao unaotaka uwalipe 100k
  8. M

    Nahitaji kutengenezewa App ya android

    Inaeza kumuonganishia API ya blogger kwel? Na authentication kufanya kabisa?
  9. M

    Kutuma sms zaidi ya 100 inawezekana?

    20Tshs per sms. Unaeza lipia post paid pia. Sender name kama hilo jina la kanisa lenu ni bure. Na unapata huduma ziada bure kama ku prune contact zako kutoa namba ambazo hazipokei sms ili kuokoa gharama zako
  10. M

    Usafiri mtandaoni

    Utaratibu upande wa technology ama wa business plan?
  11. M

    Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha Mobile App au Startup Company

    Bonge la thread mkuu. Tunashukuru [emoji120][emoji120] [emoji122]
  12. M

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuweka hizi (voda, tigo, Airtel, HALOPESA) Kama njia ya malipo kwenye website

    Mbna ipo freshi tu if on a budget. Kuliko kutafuta developer akitengenezee from scratch
Back
Top Bottom