Recent content by Meekah 1

  1. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Ila UWATA kule wao kila mtu ni mchawi,niliwahi kwenda mara kadhaa nilipokuwa mdogo,mama yangu alikuwa anasali huko aisee kila ndugu yake,jirani aliambiwa ni mchawi,mama akatoa mpaka moja ya nyumba zetu zilizokuwa zinamuingizia pesa ili liwe kanisa,mwishoni alikuwa kama amechanganyikiwa ila Uwata...
  2. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Noo mimi sio mwalimu, ni Afisa masoko katika kampuni kubwa tuu hapa tanzania
  3. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Nashindwa hata kuelewa,the same thing happened to me nikiwa form three,lakini haikuwa kwa mwalimu wa kiume,nilikua napitia bulliying kutoka kwa wanafunzi wenzangu,nikapachikiwa kesi,sikuwa na upendo na. Shule tena,halafu nilikua nasomeshwa na walezi tuu sio wazazi,nilitoroka shule nikaenda kwa...
  4. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Utumishi wa umma na utawala bora shida ya simu yenu ya mezani

    Mimi huwa nawapata kwakweli na ni mara nyingi.kama una shida na unahitaji kuwapata makesure unaanza kuwatafuta kwenye line kuanzia saa mbili na nusu na usipige namba moja.chukua zote nne na uwe unajaribujaribu zote bila kukata tamaa muda mwingi zinakua zinatumika lakini endelea kujaribu mpaka...
  5. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Songea mbona haibadiliki? Kuna tatizo gani na mmekuwa na Mawaziri toka miaka ya 1960?

    Ubinafsi umejaa kwenye haka kamji,asilimia kubwa ya watu wenye maendeleo ni wageni na sio wazawa.ni wavivu kwa kila kitu kuanzia kusoma mpaka kufanya kazi,ma bar ya kiloko ndio yamejazana,wananchi wake wengi ni wambea sana na wamekalia majungu, Ukimwi umejaa huko ukijichanganya tuu...
  6. Meekah 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa na mahusiano na dada jambazi

    🤣🤣🤣Nimeshaua mtoto wa watu.
  7. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Imegundulika kwamba Kampuni ya JATU PLC iliyosajiliwa DSE ni ya kitapeli

    TCC&TBL are the best
  8. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuzuia ujumbe wa kampuni za simu

    😆😆😆 Mbona umeblock mpaka Songesha
  9. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuzuia ujumbe wa kampuni za simu

    Message za makampuni nyingi huwa hazina namba
  10. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Wenye Mitaji na nia njooni tuwekeze pamoja kwenye biashara hii

    Mkifanikiwa kwenye Biashara yenu hii,na kama mtahitaji Warehouse clerk,Sales and marketing mimi nipo, NB hata nusu ya million kumi sina
  11. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 2, declaration clerk na operation officer

    Mimi Supervisor wangu alinikomesha,nilifanya kazi kiugumu kweli na ndio ilikuwa kazi yangu ya kwanza, It was very tough na ilikua kampuni kubwa sana.thou nilimaster within a week
  12. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Pendekezo binafsi na maoni kwa makampuni yanayoajiri madereva

    Nahisi hujamuelewa vizuri
  13. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TaESA

    Ni kawaida kila mtu hutumiwa, omba mungu bahati inaweza kuwa upande wako ukapata sehemu ya kujishikiza.
  14. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Watu baki ni watu wa kuwaheshimu sana hasa wenye upendo wa kweli
  15. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile iliyo ndani au nje ya field yangu

    I I dont care if uyo la saba kanizidi kipato,mimi na yeye ni watu wawili tofauti kabisa. Yeye ni yeye na mimi ni mimi dear 92 jerie.have a blessed sunday with full of joy and love
Back
Top Bottom