Recent content by Mediaty

  1. Mediaty

    Mkombozi wa wanaume

    Katika zama hizi, wanaume wanapotia magumu sana. Wapo na insecure sana. Kuna matabaka kibao. Hawa wanaogopa kuoa, hawa wanawachukia wanawake, hawa wapo jela sababu ya wanawake wengine mpaka wanawaza watapata wapi wake bora. Majibu ya maswali haya ni magumu sana kuyapata. Ila utafiti unaonesha...
  2. Mediaty

    Hii ni kwa wanaume tu

    Habari zenu wanaume wa humu ndani. Natumaini hamjambo kabisa. Leo nakuja na Uzi huu maalumu kwa akili yenu. Kuna watu watanielewa, watanidharau, watanipinga na wengine wataguswa. Twende kwenye mada. Ukiachana na kubeba shingo upara katikati ya miguu yetu ila kuna tabia hizi hapa ambazo lazima...
  3. Mediaty

    Mwanamke age-mate wako aliyekukataa wakati ana miaka 21, atajisogeza kwako akifika miaka 30

    Sio kweli. Bikra zipo nyingi mno. Ila kama unakaa kweye majiji makubwa, unatoka na street girls, college au university ladies ni ngumu kukutana nazo. Ila huku mikoani, au strong families bikra zipo sana. From experience, Kuna watu wanaona bikra mpaka Leo. Na ni sheria kama hasipoikuta...
  4. Mediaty

    Rasmi nimeachana na mapenzi

    Real men tupo ndugu yangu ila shida hatunaga swaga na makeke. Hatuvai brand, Tiktok na Insta hatuzijui na mbaya Sana hata kuchonga ndevu hatuwazi. Tukiwapenda tunawajali Sana mpaka mnadhani labda kutupenda kwenu ni bahati kwetu so mnaanza kulinga. Kawaida yetu, nice men with sigma mentality...
  5. Mediaty

    Wanawake tamaa na umalaya uwamaliza.

    Maneno aliyokuwa anayawaza wakati anakaribia kufa ni elimu tosha kwa dunia ya Sasa hivi
  6. Mediaty

    Natafuta bendi ya muziki

    Habari zenu Wana Jamii forum? Natumanini mko salama kabisaà. Mimi ni kijana wa kiume, nipo Dar Es Salaam, Ubungo. NATAFUTA band ya mziki ya kujiunga nayo katika shughuli za mziki. Yeyote anaeweza kuniconnect na kikundi chochote kinachofanya mziki wa live ntashukuru Sana. Experience yangu ni...
  7. Mediaty

    Nani kakudanganya kuwa kuajiriwa ni utumwa?

    Mtoa mada ametoa uzi ambao ni Ironic. Ni vile tu baadhi hamjamuelewa. Uzi mzima unaonesha jinsi gani kuajiriwa ilivyo utumwa.
  8. Mediaty

    Natafuta nafasi ya kazi

    Ndiyo! Nilipata ya muda mfupi!
  9. Mediaty

    Natafuta nafasi ya kazi

    Eh ndugu yangu
  10. Mediaty

    Natafuta nafasi ya kazi

    Habari za wakati huu wanajamii forum? Mi niko vyema kabisa! Kwa mara nyingine tena, nakuja kwenu, lengo ni kutafuta fursa ya kazi yoyote halali. Nina experience ya marketing and promo strategies kwa miezi kadhaa. Kuuza kwenye store za nguo, vyombo na vifaa vya electronic. Lakini pia ni...
  11. Mediaty

    Wazazi mmekuwaje?

    Migogoro na Unafiki ndo dhamira kubwa kwenye maisha ya mwanadamu. Haya yanatokea sababu, mawazo yako na ya mazazi yanatofautiana. Ni vyema kuwaeleza mipango yako. Kuna siku Bimkubwa aliwahi niuliza kama niko sawa (nguvu za kiume). Hii ni baada ya kuona kupindi chote ambacho nimekaa pale home...
  12. Mediaty

    Akili ya Binti/Mwanamke wa kisasa anapoingia kwenye mahusiano

    Basi turudie wote, mi nshamaliza kurudia
  13. Mediaty

    Akili ya Binti/Mwanamke wa kisasa anapoingia kwenye mahusiano

    Uzi wako ni mzuri lakini sio sana. Usipende kugeneralize. Hii ni tabia mbaya na haifai. Kwa kufanya hivyo uzi wako haujengi labda kwa wale open minded na kumbuka ni wachache. Sio kila mwanamke anapitia hizo ulizotaja japo wapo wengi. Jaribu kuheshimu baadhi ya wanawake ambao wanajitambua.
  14. Mediaty

    Nyimbo gani unasikilizaga ili kujifariji

    Habari zenu wanajf? Naomba leo tushee nyimbo zetu pendwa tunazozisikiliza kwenye playlists zetu when we feel giving up. (Kukata tamaa) Binafsi, "Lengend" by Chronixx ndo nyimbo ambayo napenda kusikiliza sana. Kwa sababu; - Content , instruments na melody hunifanya nijione mtu mwingine kabisa...
  15. Mediaty

    Nyimbo gani unasikilizaga ili kujifariji

    Habari zenu wanajf? Naomba leo tushee nyimbo zetu pendwa tunazozisikiliza kwenye playlists zetu when we feel giving up. (Kukata tamaa) Binafsi, "Lengend" by Chronixx ndo nyimbo ambayo napenda kusikiliza sana. Kwa sababu; - Content , instruments na melody hunifanya nijione mtu mwingine kabisa...
Back
Top Bottom