Ni kujilisha upepo tu huru toka kwa nani? Ni kuongeza mzigo usiokuwa na sababu kwa walipa kodi wa kitanzania ambao majority ni maskini wa kutupwa. Ni kama lile zigo jingine la mahakama ya mafisadi lisilokuwa na manufaa yeyote kwa masikini wa kitanzania.
Ni kweli kabisa mkuu. Huwa nasema siku zote ukiangalia kwa makini sana interview ya dereva wa kampuni ambayo iko makini huwa serious kuliko mchakato wa kumpata rais ambaye sidhani hata kama huwa anakuwa interviewed. Kuwa na wajumbe wanaokusupport ili kupata uteuzi haimaanishi kwamba uko fit kwa...
Kama 2015 walileta fisi kwenye kampeni itakuwaje issue kumleta le Dr Kamata? Sema umefanya kosa moja kubwa hapa kuwasanua so hawatamleta tena huyo mzee na kwa hilo umempotezea ulaji mkuu next time think twice.
Ndio wanazichanga, wakipata 500m toka kwa Kilimanjaro na kwa mwingine kdg hivyo hivyo taratibu itafika dola 28m wanayodaiwa Canada. Ni deni letu sote hilo la bombardier so kuonesha uzalendo yatupasa wote kuchangia.
G Sam kwa kuongezea maeneo ya Kwala kwa sasa kunajengwa dry port ambayo mizigo yote ya transit itapelekwa huko kwa train then malori yatasafirisha kunakopaswa. Kwa hiyo malori yote ya mizigo ya transit ambayo si mafuta ya mitambo au magari hayatakuwa na sababu ya kuja mjini yataishia Vigwaza...
Kwanini iwe issue ya rais kuamua hili? Mambo makubwa kama haya kwanini iwe utashi wa mtu mmoja? Nchi ina miaka 56 now angekuwa mtanzania anakaribia kustaafu bado hatuna systems in place za kutuongoza kwenye mambo yetu kitaaluma?
Matumizi ya Chato
1. Airport Billion 39
2. Jengo la TRA Billion 37
3. Bandari ya Uvuvi Billion ....
4. Taa za barabarani Billion ......
Jumla ya Matumizi Billion ........
Mapato ya Chato
1. Makusanyo ya kodi Milllion .......
Jumla ya Mapato Million ................
Tofauti ya Mapato na...
Mkuu usisahau na zile barabara za ubuyu nchi nzima ambazo kila siku kodi zetu zinatumika kurudia kuzitengeneza. Tofauti ya yeye na hao wengine ni kwamba yeye anaweza kufanya lolote kufifisha ushahidi kama alivyohamishia jeshini kile chuma chakavu tulichonunua 8b TZS toka Denmark ili tusiweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.