Ujenzi wa uwanja wa kisasa wa ndege Chato unaendelea vizuri

Hongera serikali awamu ya 5 kwa juhudi hizi

57860ae3fc009508e0d0b3995d661192.jpg
 
Usinikumbushe wale punda waliokuwa wanapita kwenye barabara zenye taa za kuongozea magari kwenye keep left! Tuombe Mungu kuwa hilo lisitokee kwenye uwanja huu wa ndege!
 
Nyie veeepi acheni kuwa kama wanawake wa jikoni so nyie mnataka sis wa mkoa wa Geita tusipate kiwanja cha ndege. Mbona moshi kuna lami hadi chooni hatuongei. Mtapasuka na bado.
 
Hongera serikali awamu ya 5 kwa juhudi hizi

57860ae3fc009508e0d0b3995d661192.jpg

Matumizi ya Chato
1. Airport Billion 39
2. Jengo la TRA Billion 37
3. Bandari ya Uvuvi Billion ....
4. Taa za barabarani Billion ......
Jumla ya Matumizi Billion ........

Mapato ya Chato
1. Makusanyo ya kodi Milllion .......
Jumla ya Mapato Million ................

Tofauti ya Mapato na Matumizi ni Hasi Billion .................... ambao ni mzigo tunaobeba walipa kodi pasipo sababu yeyote. Je huu ndio uongozi wa kutuonesha njia?
 
Uwanja huo unajengwa kwa Garama kubwa kwa ajili ya mtu mmoja tu

Ova
 
Uwanja utakuwa na ndege moja tuu ya kumpeleka "Asiyejaribiwa'' kupumzika kwao
Hasara kwa taifa zinaendlea
Meli ya wavuvi wa kichina
Mv Magumashi
Nyumba za serikali
Upotevu wa mabilioni wizara ya ujenzi
Fidia ya petrol station Mwanza
Uwanja magumashi Chato
........itaendelea...
 
Back
Top Bottom