Shida unakuta mtu anabisha kitu afu uelewa kuhusu jambo husika ni mdogo mpaka sio poa.
Na wakati huohuo anatumia vifaa vilivyotengenezwa na wazungu haohao kuingia humu JF, Kama wakitaka kummaliza si wanaweka tu miale ya hatari kwenye simu, ya nini mpaka waangaikee waingie gharama kukutengenezea...
Leo nimeweka vocha za 1,000 mara tatu kwa mkupuo ilinijiunge kifurushi cha wiki 3,000 kuangalia salio nashangaa nakutana na 2,938 bila maelezo yoyote sijui hio 62 imepotelea wapi.
Nimeweka vocha data nimezima tu muda mrefu kwabla ya kuweka vocha, sajajiunga na huduma yoyote ambayo ingenikata...
Sio kutokua na akili lakini ni makosa ambayo vijana wengi tunapitia, & by the way tunajifunza kupitia kupitia makosa.
Na hongera pia ww mwenye akili ambae hujawahi kufanya makosa maishani mwako.
Hatari sasa na walivyo na hisia kali za kugundua mfulio wanaweza wakakunusa tu wakajua hamna kitu huyu mtu siku hizi.
Yani hapa mtaani mpaka baadhi ya watu hawaitikii salamu zangu.
TheChoji,
Umeongea point sana na hii inanitia moyo niongeze spidi katika juhudi za kupambana nirudi katika hatua nilizo kuwapo mwanzo na ikiwezekana zaidi.
Ingawa bado sijafikia hiyi miaka, lakini umeongea kitu cha msingi sana.
Kwani muda hausubiri mtu.
Siku nyingine baada ya kula mlo mmoja tu na muda mfupi tu baada ya kuzipitia jumbe fupi za zamani kutoka benki fulani hapa nchini ambayo nami nilikuwa mteja wa muda mrefu sana.
Nikikumbuka miamala niliyokuwa naifanya kwa ajili ya kukidhi mahitaji yangu na starehe mbalimbali.
Nimemkumbuka pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.