Wazee wa kubugia chanjo za mabeberu; Mmejiandaaje na Monkeypox?

Wazee wa kubugia chanjo za mabeberu; Mmejiandaaje na Monkeypox?

Huku ilikua ni Chicken Pox ikatokomezwa kitambo sana, hiyo MonkeyPox inawahusu wao...
 
Tunasubiri maoni yako juu ya monkey poxy. Haya uliyotoa ni maoni yako juu ya mleta mada unavyomdhania.

Karibu.
Nimeulizwa nina maoni gani, sijaulizwa nina maoni gani juu ya Monkeypox.

Hiyo "Monkey poxy" yako mimi siijui. Ni nini hiyo?
 
Inasikitisha sana kuona mtu anazungumzia ugonjwa kwa ushabiki kama vile wa Simba na Yanga.

Yani unaona kabisa huyu mtu hana hata elimu ya msingi kabisa kuhusu Monkeypox na anahitaji kujielimisha.
Mkuu ebu tufanyie tafiti kutusaidia sisi wa huku wa TZ,kwa uko ulipo mtoto anapozaliwa anaanza kupewa chanjo akiwa na umri gani?
 
TPTB wanaendelea kutuchezea, hii chart wameindaa tangu March 2021, na ndo plan yao on the way hii Monkeypox itaenda...
E019F792-593D-4F5F-B70D-7D172D8C1CA3.jpeg
 
Lipumbavu la mwendazake, mwendazake hakubugia chanjo za mabeberu? Hakupata chanjo ya surua, polio? Pepunda? Ndui? Unafikiri Hizi chanjo zinatengenezwa chato? Ni kitu gani mwendazake alichokuwa akitumia amacho hakikutoka kwa mabeberu? Alipougua alikuwa akipewa mitishamba ya Chato?
Au yale mabunduki na migari iliyokuwa ikimlinda ilitengenezwa Chato?

Alikuwa akiropoka upumbavu na nyie mazezeta mnamuamini, haya amekufa kwa Covid, mfuateni huko Chato mkazikwe naye
Safi sana kumbe bado tuna watz wenye akili kama wewe hongera sana......
 
Kinacho nishangaza watu chanjo tu ndo wazionaga zina sumu lakini madawa wanayoyatengeneza tunayabugia kwelikweli, tena kwa moyo mkunjufu.
 
Ukichunguza sana utagundua hiyo inayoitwa Sayansi nao imekuwa kama Dini tu. Inatumia kanuni zile zile za dini za kutisha watu!!!

Dini: Usipomtii Mungu ukifa utaenda motoni
Sayansi: Usipochanjwa utaumwa utakufa

HOFU!!! Ndio silaha pekee ya kuwatawala watu
 
Back
Top Bottom