Recent content by Mechanical Engineer

  1. M

    Walimu wa science

    Nani alikudanganya ya kwamba ukisoma shahada ulizozitaja hapo juu ndio unakuwa mtu bora sana na mwenye haki ya kupata ajira?
  2. M

    Post Graduate Diploma v/s Bachelor Degree

    Ni kutokujua na kutokuwa tayari kujua.
  3. M

    Post Graduate Diploma v/s Bachelor Degree

    Unachanganya habari mdau! Unajua postgraduate diploma?
  4. M

    Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    Wewe unadhani ni asilimia ngapi ya wahitimu wanamudu hali ya kujikimu wenyewe pindi wawapo majitoleoni?
  5. M

    Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    Hii habari ya Wanaojitolea nayo ni kichaka kingine. Wanaojitolea wenyewe wamepewa nafasi hizo za kujitokea kwa kujuana, then hao hao ndio watakaopewa kipaumbele kwenye kuajiriwa! Hawa masikini wenye hali tete na walioshindwa kujitolea kwa sababu ya kukosa namna ya kujikimu wawapo majitoleoni...
  6. M

    Ushauri: TCU kutowatambua waliosoma Engineering Science kusoma shahada za Sayansi inawaumiza waliosoma Shule za Ufundi

    Sidhani kama uliyowasilisha hapa yana ukweli. Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  7. M

    Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Huu utaratibu wa kuajiri the so called wanaojitolea ni wakukemewa kwa nguvu zote. Umegubikwa na rushwa na upendeleo kwa kuwa hata hizo nafasi za kujitolea zilitolewa kwa upendeleo pia. Nafasi za kazi zitangazwe na watu waombe, kisha wapimwe kwa usaili.
  8. M

    Hivi kwa karne hii, je ni bado elimu ni ufunguo wa maisha

    Elimu ni nambari moja kwa ustawi wa jamii. Bila elimu hakuna maendeleo endelevu ya ulimwengu huu tulionao! Elimu ni ujuzi, na ujuzi ndio ngao pekee inayomwezesha mwanadamu kupambana na mazingira yake.
  9. M

    Mwongozo wa Serikali: Kipimo cha Corona ni Dola za Kimarekani 100 kwa anayesafiri nje ya Nchi

    Wewe unajiona hodari kupost upuuzi huu? Hivi akili za kitumwa zitatuisha lini? Unadhalilishwa nawe unashangilia, eti kwa sababu aliyekudhalilisha ni mzungu? Umenisikitisha sana!
  10. M

    TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Hao Waturuki pia hawakujiandaa vyema kuwekeza Tanzania. How comes zaidi ya miezi sita mko na mitambo (assets) ugenini bila kuanza biashara? No way, let them go!
  11. M

    Majibu: Sijamtelekeza Baba yangu, Mzee Kigwangalla

    Akiteuliwa tena itakua ni baraka ya nani?
Back
Top Bottom