Post Graduate Diploma v/s Bachelor Degree

Post Graduate Diploma v/s Bachelor Degree

Kalibuni tena wadau katika mdahalo huu ingawa nimegundua baadhi hawajui tofauti ya Advanced Diploma & Post graduate Diploma.Kwa ufupi huwezi soma Post graduate diploma kama huna digrii ya kwanza tofauti na Advanced diploma.Nihayo tu.kalibuni!!

Kama hujui ni bora ukakaa kimya tu kuliko huu uongo ulioandika hapa.Mwenye degree na Advanced Diploma wote wanaweza kusoma post graduate diploma.Na kuongezea tu mwenye Adanced Diploma anaweza kwenda masters provided ana gpa ya kuanzia 3.5 kwenda juu
 
Nimekusoma!!
 
Ni kweli mimi nina adv. Diploma gpa 3.8 nina admission ya masters ya mzumbe na OUT
 
Huenda watu hapo juu (ukiondoa mleta mada) hawaielewi Postgraduate Diploma, na nimesema hivyo kutokana na post zilizowekwa hapo juu. Ili mtu usome Postgraduate Diploma, lazima uwe graduate. Kama watu hapo juu mngekuwa na uelewa wa matumizi ya prefix na suffix, bila shaka hata neno 'post' lingetosha kuvuta attention kwamba 'postgraduate' ni nini!

Tukirudi kwenye swali, mleta mada anahoji 'utendaji', na sio 'qualification'. Kwa kweli ili upate jibu sahihi, inabidi ufanywe utafiti (research), vinginevyo labda upokee majibu ya mtu mmoja mmoja tu ambayo katika research ni sawa na dodoso (questionnaire) moja moja tu. Kwangu mimi, tofauti ya ufanisi wa mtu katika kazi kati ya graduand wa fani husika na postgraduand wa fani husika lakini aliyetokea katika fani tofauti, inaweza ikawepo au isiwepo kutegemea na hiyo fani. Mfano mzuri ni Uhandisi (Engineering), kwa chuo kilicho makini hakiwezi kupokea mtu mwenye degree au advance diploma ya fani tofauti na Engineering asome Postgraduate Diploma ya Engineering kwani wanajua utendaji wa huyu wa postgraduate utakuwa low ukilinganisha na mtu aliyetoka nayo taratibu kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa nne/tatu. The same to field za Health. Lakini fani za Biashara, utendaji na ufanisi unaweza usitofautiane kabisa hususan katika management, ila katika mambo ya kiufundi kama Audit, huenda mtu mwenye degree akawa mzuri zaidi.

Kwa ufupi utendaji wa kifanisi unategemea fani yenyewe
hapa mkuu umemalizakila kitu....mi binafsi nimekuelewa sana
 
Let me try; Naanza kwa example Mtu kasoma degree ya Education then akaenda kusoma Post Graduate diploma ya Business administration, "Huyu hatumuweki ktk kundi la walio competent about Education" tunamlinganisha sawa na yule aliesoma degree ya Education (bila Post Graduate Diploma), lakin mtu aliesoma Degree fulan e.g BA.Ed alafu akasoma Post graduate diploma ya Education Management huyu tunamhesabia yko juu ya yule alie na degree pekee. May be I hv tried
 
katika uhalisia ndugu yangu hawa watu hawawezi kua sawa ingawa theoretically wanafit, maana post graduate diploma ni masoma ya ziada ya ujuzi(kama ninavojua),kwamfano, mtu flani alisoma public relations digrii lakini akaona aongeze ujuzi juu ya hapo akaenda kusoma post. graduate ya international diplomacy. mara nyingi post graduate ni taaluma zisizo na mifumo yaani utakuta Bsc.wildlife management lakini hakuna Bsc ya bush meat management. kwahyo mtu anatafuta ujuzi kwa kusoma course ili accomplish mission anayotaka.nadhani nitakua nimejaribu kukudadavulia japo kidogo maana wataalamu wengine watakuja naaimani hyo.lakini swala la ufanisi ni swala moja na swala la elimu niswala lingine maana unaona jitu lina degree lakini utendaji mbovu tena nanga wakutupa mpka inakupa mashaka juu ya elimu yake.nimawazo yangu

Heko mkuu. Umeelezea vyema!!!
 
Huwezi kufananisha mlimao na mchungwa japo vyafanana, huwezi kufafanisha kadiploma na Degree, mwenye degree ana akili sana tofauti na mwenye kadiploma ka manati even though kanaweza kupachikwa jina la Advanced diploma baada ya mtu kuongezea kaelimu but ukweli utasimama daima.

ujinga ni mzigo!
Unajua maana ya postgraduate wewe?
 
Udsm ukiwa na Advance Diploma plus Post Graduate Diploma wahakuchukui kwenye Master wabaguzi sana
 
Kama hujui ni bora ukakaa kimya tu kuliko huu uongo ulioandika hapa.Mwenye degree na Advanced Diploma wote wanaweza kusoma post graduate diploma.Na kuongezea tu mwenye Adanced Diploma anaweza kwenda masters provided ana gpa ya kuanzia 3.5 kwenda juu

Mkuu gpa ya 2.8 tu wenye advanced diploma wanasoma masters
 
Nina Bachelor of education (Chemistry and Biology), ninaweza kusoma Post graduate diploma in business au post graduate diploma in Accounting? Form four nina A ya Maths.
 
Nitaongelea zaidi kuhusu post graduate diploma hii ni qualification ambayo mtu anaiongeza hili aweze kufiti sehemu filani kisheria hasa yule mwenye degree Ni lazima uwe na degree ndio ukasome post graduate diploma mfano mtu kasoma bsc in physics akimaliza automatically hawezi kukubaliwa kuwa mwalimu katika shule za serikali kwa sababu Hana qualification za education even so yeye kasoma degree ya physics chuo kikuu kwahyo inambidi aingie mtini akaisake post graduate diploma ya education in physics
Ndipo anaweza kuajirika Kama mwalimu pia mtu huyu wa bsc in physics anaweza aka post graduate ya medical attendance kule ocean road kwa ajiri ya imaging and radiograph.
 
Mkuu nmeuliza hapo juu kama inawezekana kufanya post graduate ya financial management au Accounting kama nina B.Ed (Chemistry na Biology)
 
Kwaiyo wakuu mfano mtu ana degree ya sheria je anaweza kuchukua postgraduate diploma ya Electrical and Electonics Engineering?
 
Mkuu nmeuliza hapo juu kama inawezekana kufanya post graduate ya financial management au Accounting kama nina B.Ed (Chemistry na Biology)
BED km GPA inaruhusu kwann usiende kufundisha Collage ?
 
Huwezi kufananisha mlimao na mchungwa japo vyafanana, huwezi kufafanisha kadiploma na Degree, mwenye degree ana akili sana tofauti na mwenye kadiploma ka manati even though kanaweza kupachikwa jina la Advanced diploma baada ya mtu kuongezea kaelimu but ukweli utasimama daima.
Unachanganya habari mdau!

Unajua postgraduate diploma?
 
Nani kakudanganya kwamba adv.dip ndo post?hivi hua mnasomaga mada kabla yakujibu?nani umemuona anadiploma akaenda kusoma post bila kua na Bsc?yani hiki kizazi Mungu atuokoe tu maana kama hata wewe unadegree basi tuna tatizo kubwa.samahani lakini inatia mashaka
Ni kutokujua na kutokuwa tayari kujua.
 
Back
Top Bottom