Walimu wa science

Walimu wa science

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,198
Reaction score
1,289
Je wewe ni Mwalimu wa masomo ya Science? Umeomba ajira Mara ngapi serikalini na ukakosa, je unayo matumaini ya kupata ajira.

Binafsi nimemaliza UDSM, 2018 teaching subjects zangu ni Chemistry na Biology.

Kwenye darasa letu ameajiriwa mtu mmoja tu, kwa mwaka wetu wameajiriwa walimu wa physics na Math kidogo.

Kwa Sasa ualimu wa Biology na Chemistry, Biology na Geography, hauna dili Tena
 
Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?

Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.

Na utakaa sana.

Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.

Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
 
So what??
Mbona umemjibu kinyama Sana wewe hauelewi Yuko katika wakati gani jamani.
Hata Kama una Billions of dollars sio kuwa arrogant to your fellow man to that extent.
Icho unachoringia Kuna siku hutokuwa nacho mkuu.
Pia hakuna Bachelor ya Mana zote Zina umuhimu.pia kumbuka viongozi wetu wakubwa wa nchi wengi ni walimu hao walipdharauliwaga na walimu wenzao kuwa salary Yao ndogo.
Yaani unaongea utadhani umeajiri watu like 1M, na sijui hata housemate unaye
 
Naongezea,Kuna jamaa yangu kasoma sheria na kuhitimu mwaka 2010 Hadi Leo Hana ajira, yeye 2018 anaanza kubwabwaja ,bure kabisa
 
So what??
Mbona umemjibu kinyama Sana wewe hauelewi Yuko katika wakati gani jamani.
Hata Kama una Billions of dollars sio kuwa arrogant to your fellow man to that extent.
Icho unachoringia Kuna siku hutokuwa nacho mkuu.
Pia hakuna Bachelor ya Mana zote Zina umuhimu.pia kumbuka viongozi wetu wakubwa wa nchi wengi ni walimu hao walipdharauliwaga na walimu wenzao kuwa salary Yao ndogo.
Yaani unaongea utadhani umeajiri watu like 1M, na sijui hata housemate unaye
Ndiye tulivyo sisi masikini
 
Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?

Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.

Na utakaa sana.

Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.

Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.

Hii ulivhokiandika unahisi ni kizuri, mbn hivi hujanijibu mimi but angalia maneno ya kujibu
 
Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?

Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.

Na utakaa sana.

Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.

Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
Daaa hizi bangi,afu kwa tarifa yako 2015 walimu wote wa science waliajiliwa na JPM
 
So what??
Mbona umemjibu kinyama Sana wewe hauelewi Yuko katika wakati gani jamani.
Hata Kama una Billions of dollars sio kuwa arrogant to your fellow man to that extent.
Icho unachoringia Kuna siku hutokuwa nacho mkuu.
Pia hakuna Bachelor ya Mana zote Zina umuhimu.pia kumbuka viongozi wetu wakubwa wa nchi wengi ni walimu hao walipdharauliwaga na walimu wenzao kuwa salary Yao ndogo.
Yaani unaongea utadhani umeajiri watu like 1M, na sijui hata housemate unaye
Jamaa kapanic hatari
 
Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?

Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.

Na utakaa sana.

Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.

Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
Dah!...punguza hasira boss
 
Huyu atakuwa ametembelewa na vimilioni chini ya Mia afu analeta dharau ,huwezi kuta mtu aliyezaliwa katika utajiri like Nani vile ukoo wa bush ama malkia wanadharau masikini Ila Sasa ngoja uje uendeshe gari na huku ulizaliwa kwenu hazipo nakuambia utasumbua sana kwa fujo mtaani hatulali

Kabisa mkuu
 
Kwahiyo kama Haina dili unataka tufanyeje sisi?

Watu tangu 2015 wako mtaani, wewe umemaliza chuo 2018 hata maziwa hayajakutoka mdomoni unaanza kubweka. Mpuuzi sana.

Na utakaa sana.

Wakiajiri wanaanza na wale waliomaliza nyuma 2015 mpaka 2016.

Watu wamehitimu Bsc Nursing, MD, EHS, Lab na wako mtaani, wewe na kiumwalimu chako cha Kenia na Biis unaona kama unastahili haki saaaana.
Nani alikudanganya ya kwamba ukisoma shahada ulizozitaja hapo juu ndio unakuwa mtu bora sana na mwenye haki ya kupata ajira?
 
Back
Top Bottom