Habar wakuu, viwanja vinauzwa Ifakara maeneo ya kibaoni vyenye ukubwa wa high density vipo karibu na Mbega resort. Mwenye kuhitaji wasiliana kwa namba 0715495215
Jonas ni tapeli na wala hakuna anayemsingizia juu ya hilo, tuliotapeliwa hayo magari tupo na mwisho wa siku tuliamua kumuachia Mungu maana yeye ni muamuzi wa yote. Kuna wengine ni wastaafu walitumia pensheni zao kumuagizia magari ikabaki kuwa hadithi. Huo ni mwanzo tu mengine yatasikika. Ogopa...
Habari za majukumu wana jf,
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 25X25, kipo maeneo ya Mbezi Msumi. Kiwanja kina jengo la vyumba viwili na nipo katika mchakato wa kupata hati.
Bei maelewano, pm kwa kupata maelezo zaidi.
Jamani mwenzenu upweke umenichosha, natafuta mwenza wa kuishi nae.
Ni mama wa watoto wawili, umri wangu miaka 36, elimu yangu ni shahada ya uzamili, muislamu na ni muajiriwa wa serikali.
Nahitaji mume umri kuanzia miaka 37 awe muislam. Aliye serious naomba pm
Pole cindy, usijali Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe. Wanawake wengi huwa tunajiuliza kama kuna second chance, wengi wamefanikiwa kupata wenza na wakaishi maisha ya amani.
Wakuu poleni na majukumu.
Naomba msaada wenu kwa anayefahamu wakala wa kusafirisha vifurushi kutoka Marekani kuja Tanzania anijuze. Pia kama kuna njia yoyote iliyo salama kusafirisha mizigo naomba nijuzwe.
Habari zenu wana jf, poleni na majukumu.
kuna huduma nyingi za kitaalamu tunazo ndani ya jamii zetu ingawa wengi hatuzifahamu. Nilikuwa na tatizo ambalo lilinipelekea kuwa na msongo wa mawazo lililosababisha utendaji wangu wa kazi kushuka, ndipo nilipokutana na kijana mmoja na kunipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.