Recent content by meamba

  1. M

    Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Ndugu acha ushabiki usio na maana, nyumba ziliuzwa kwa baraka zote toka baraza la mawaziri, ndio maana hata watu (wanasiasa)makini hawalisemei hili.
  2. M

    Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    We Mmawia ulishasikia ama kuona rais Ana saini mkataba?
  3. M

    Msaada maswala yaulipaji kodi kwa kampuni mpya taratibu zipo je?

    Habari zenu nyote wana jukwaa kimatumizi ya mtandao sio mzuri saana,lakini nimeshawishika kuleta ombi langu kwenu ili niweze kupata jibu litakalo niwezesha kufanya maombi ya TIN kwa ajili ya kampuni yangu nilio isajili hivi karibuni. kwa yeyote anaweza kunipa muongozo masuala ya kodi yanakua je...
  4. M

    Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

    Acha utumwa ndugu amka sasa sinto shangaa siku ukamponda mzazi wako wewe umeona ni Tanzania tu ndio isio kuwemo Japani,Canada,Afrika kusini,Venezuela,Ureno na nyingine nyingi hizo hushangai jifunze kusifia chako.
  5. M

    Nina hitaji mtaji

    Habari zenu wana Jf,naombeni ushauri jinsi yakupata mtaji nimesajili kampuni ya ucontractor wa umeme sina cheti cha CRB maana masharti yao ni ya matajiri akina fulani sidhani kama tutaweza kujiajili naomba mawazo yenu.
  6. M

    Habari zenu nyote

    mimi ni mwana JF mpya bado sijaweza kutumia mtandao huu vizuri nahitaji msaada wa namna ya kupost na kucomment
  7. M

    Usajili Kampuni

    habari zenu nyote wana Jamiiforums. niniomba kwa yeyote anaeweza kunipa taratibu maana nilisha sajili jina la biashara,lakini sasa nataka iwe kampuni yenye ukomo ltd tafadhali
Back
Top Bottom