Recent content by mdunduwaro

  1. M

    JamiiForums Tanzania KOREA KUSINI: Rais wa zamani amehukumiwa kifungo cha miaka 24 jel akwa tuhuma za rushwa

    Kwetu utasikia "" waacheni wazee wetu wapumzike,msiwasakame wamefanya mambo makubwa kwa nchi"
  2. M

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Kikundi kinachotekeleza mauaji kinatoka CHADEMA chini ya G. Lema. Ningemfunga Mbowe miaka 200

    Musiba amejaa ghiriba,anatamani mbowe na wenzake wauwawe,chadema msikae kimya...nae hapaswi kuachwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Maandamano sio haki kikatiba?fanyeni utaratibu wa kuondoa kipengele hiki kilichopo ktk katiba,Uhuru Kenyatta juzi tuu katufundisha alivyokomaa,aliondoa police wakati NASA wanaapishana ili kuondoa uvunjifu wa amani ambao ungeweza kutokea,by the way wenzetu maandamano yanafanyika na police wapo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Disco dancer
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais hajakataa kukosolewa lakini njia zitumikazo kumkosoa ni za hovyo

    Nae mkateni kichwa chake,c mmezoea kufanya mauaji
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu nyota

    VP kuhusu nyota ya Samaki muktadha wake upoje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polepole anamshangaa Nyalandu kuondoka CCM inayofuata itikadi ya Ujamaa purely na kujiunga chama kisicho na itikadi

    CCM,Bunge,Vyombo vya usalama vimepoteza dira,udikteta umetamalaki,tunasubiri nyalandu aanze kusakamwa kama wapinzani wengine na kumiminiwa risasi kisha waseme watu wasiojulikana kumbe ni CCM
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Magufuli mjini Mwanza, "walionipa kura msiwabomoleshe!" Je ukimya wa CCM unatupa picha gani Watanzania?

    Dar es salaam,Iringa,Ruvuma na mikoa mingine mliopata adha ya kubomolewa nyumba zenu 2020 ndio wakati sahihi wa kutoa majibu yenu kwa pamoja....CCM oyeeeee....mwanza oyeeeeeee....
  9. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kukarabati mabasi 10 chakavu ya vyombo vya Ulinzi na Usalama, kuokoa Tsh 1.1bn za Serikali

    Hivi wakuu wa mikoa wengine wana bajeti kama serikali kuu kama huyu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyalandu afahamu CCM haipo kwenye Daraja lake .

    Zitto mmeshaanza kumkamata kama lissu bado kumteketeza kwa risasi,hiyo ndio CCM bana
Back
Top Bottom