Recent content by MDUKU17

  1. MDUKU17

    JamiiForums Achana na 'connection' ambayo haina manufaa

    Hakuna "connection" zisizo na manufa mkuu
  2. MDUKU17

    JamiiForums Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Kizungu nimeshika hapo ni INSIDE tu
  3. MDUKU17

    JamiiForums Shafii dauda (kanjanja) iposti hirizi ya kagere (kikongwe)

    A Acha jazba Ukipost wewe inatosha
  4. MDUKU17

    JamiiForums Ilikuwa kosa Kubwa Kumuacha Gerson Fraga nje

  5. MDUKU17

    JamiiForums Rais Magufuli litazame soka la bongo kwa umakini mkubwa uchukue uamuzi

    Kwani Yusuph kafanyiwa wa kwakuwa yeye ni Yanga au Kwa makosa yake mengine nje ya Uyanga wake
  6. MDUKU17

    JamiiForums Ilikuwa kosa Kubwa Kumuacha Gerson Fraga nje

    Manula analaumiwa kwa kuto jua kwann anafungwa sana mashuti ya nje ya 18
  7. MDUKU17

    JamiiForums Rais Magufuli litazame soka la bongo kwa umakini mkubwa uchukue uamuzi

    Kwani kimetokea nn huko Yanga
  8. MDUKU17

    JamiiForums Rais Magufuli litazame soka la bongo kwa umakini mkubwa uchukue uamuzi

    Mdau unajaribu kusema nn,Hebu nyoosha maelezo
  9. MDUKU17

    JamiiForums Kuelekea Dar Derby VPL Simba SC dhidi ya Yanga SC, One Touch Operation 3 Points

    Hii ni Derby ambayo SIMBA ananafasi kubwa ya kupata point tatu kutokana ubora wa kikosi chake lakini kwa mpira lolote linaweza kutokea kwasababu kwenye derby timu zinakamia sana
  10. MDUKU17

    JamiiForums CCM kwa hili la leo hakika mtahangaika sana kudandia nguvu za Wasanii

    Uko kalibu na ukweli wenyewe 🙉
  11. MDUKU17

    JamiiForums Mzazi hataki mtoto wake asome shule anataka asome elimu ya dini pekee

    Duh aisee ALLAH alitwambia tusome kwa jina lake ila huyo anataka mwanawe aje kuwa shekh mjinga
  12. MDUKU17

    JamiiForums Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Sikuhizi wafu hawaziki wafu wao tena so sad
Back
Top Bottom