Rais Magufuli litazame soka la bongo kwa umakini mkubwa uchukue uamuzi

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Rais kipenzi cha watanzania wanyonge wapenda haki kama wewe
Mh hatuna imani na uongozi wote wa TFF

Nchi hii tumeshazoea mpira mashabiki tupo aina mbili Simba au Yanga

Leo TFF wapo kama ukoo wote ni Simba na kina Haji wanajinasibu kuwa kwa uongozi huu lazima ubingwa miaka kumi kwa maana hiyo mpaka mwisho wa utawala

Pamoja na yote hayo sawa je kwanini Yanga ionewe sana na waamuzi?kama ubingwa wachukue kihalali.

Mheshimiwa, sisi mashabiki wa Yanga tunaomba utupie jicho kwa uongozi wa TFF yote

Tunajua uongozi huu umewekwa kwa nguvu kubwa na viongozi Serikalini kwa l ya timu zao Simba ili kuikomoa Yanga
ila tunakuamini wewe utukombolee unyonge huo wa kuonewa

Kila la kheri Rais JPM
Kipenzi cha wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika barua FIFA. Kwanza unaonekana huna unalolijua kuhusu mpira, raisi hana jurisdiction yoyote juu ya TFF, kama unaona wamekosea kawashtaki Mahakama ya Uluhishi wa Michezo (CAS).
 
Uchaguzi 2020 tunampa Lissu Yanga mwenzetu huyo akafuge ng’ombe
 
Rais kipenzi cha watanzania wanyonge wapenda haki kama wewe
Mh hatuna imani na uongozi wote wa TFF

Nchi hii tumeshazoea mpira mashabiki tupo aina mbili Simba au Yanga

Leo TFF wapo kama ukoo wote ni Simba na kina Haji wanajinasibu kuwa kwa uongozi huu lazima ubingwa miaka kumi kwa maana hiyo mpaka mwisho wa utawala

Pamoja na yote hayo sawa je kwanini Yanga ionewe sana na waamuzi?kama ubingwa wachukue kihalali.

Mheshimiwa, sisi mashabiki wa Yanga tunaomba utupie jicho kwa uongozi wa TFF yote

Tunajua uongozi huu umewekwa kwa nguvu kubwa na viongozi Serikalini kwa l ya timu zao Simba ili kuikomoa Yanga
ila tunakuamini wewe utukombolee unyonge huo wa kuonewa

Kila la kheri Rais JPM
Kipenzi cha wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais mwenyewe, rais wa dar, pm wote ninsimba dam dam. Pole maana utasubiri sana
 
Mm sijamalizia kusoma huu uzi wake baada ya kuuanza kwa kuandika ujinga mtupu,watu mnatafuta sana teuzi kwa nguvu sana hivi rais ataanzaje kuingilia Mambo ya soka? Jinga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba inabebwa sana yaani lile lizee wawa lilimsukuma kabisa mapinduzi balama lakini yule mama kapeta,***** yaani nilikuwa na hasira nilitamani niingie kwenye pitch nikamgonge ndosi yule refa,ndosi moja ya ukweli,kama ile ya mtaalam zizzou aliyomgonga materrazzi
 
Rais kipenzi cha watanzania wanyonge wapenda haki kama wewe
Mh hatuna imani na uongozi wote wa TFF

Nchi hii tumeshazoea mpira mashabiki tupo aina mbili Simba au Yanga

Leo TFF wapo kama ukoo wote ni Simba na kina Haji wanajinasibu kuwa kwa uongozi huu lazima ubingwa miaka kumi kwa maana hiyo mpaka mwisho wa utawala

Pamoja na yote hayo sawa je kwanini Yanga ionewe sana na waamuzi?kama ubingwa wachukue kihalali.

Mheshimiwa, sisi mashabiki wa Yanga tunaomba utupie jicho kwa uongozi wa TFF yote

Tunajua uongozi huu umewekwa kwa nguvu kubwa na viongozi Serikalini kwa l ya timu zao Simba ili kuikomoa Yanga
ila tunakuamini wewe utukombolee unyonge huo wa kuonewa

Kila la kheri Rais JPM
Kipenzi cha wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
Duu,kwa upopoma huu kuna kazi. Kila kitu magufuli,magufuli. Mdanganyeni aone mziki wa FIFA. UJINGA PELEKA TUME YA UCHAFUZI!
 
Hujampa ushauri ila umetumia hasira sana ,punguza hasira MPE ushauri uliekua unamlenga ,labda nikusaidie mwambie magufuli ataifishe soka ya Tz kwamba waje wawekezaji ktk soka serikali ichukue kodi tu kama wafanyavyo EPL.....ila TFF itabaki japokua miundo itabadilika na viongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom